China kuongeza kima cha chini cha mshahara na kuwasaidia watu wenye matatizo ya kiuchumi

China kuongeza kima cha chini cha mshahara na kuwasaidia watu wenye matatizo ya kiuchumi

Ungejua gharama za usafiri, umeme, maji, chakula na malazi zilivyo chini wala huwezi kushangaa
Kazi kweli kweli Segelea na Ukonga vyote hivo vinapatikana bule, Gadaf yeye aliwapa free na mishahara haikuwa ya njugu kama hivo...nilifananisha na nchi za wenye akili sio hapo bongo wala vumbi...sawa rafiki?
 
Zibadilishe kwenye pesa za madafu tuone ni sh ngapi kisha linganisha na nchi yako

At the same time linganisha population ya China na hizo nchi nyingine zenye neema
Kama 800k+ apo yani ni "kima cha chini" huku kwetu mavumbini kima cha chini ni laki ngapi? Basi china wako vizuri sana ila kufikia marekani kwa kima chini bado.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwa gharama za maisha zilivyokuwa kubwa kule China hiyo ni pesa ndogo sana Mkuu.
Gharama zamaisha za UCHINA utazifananisha nanchi gani labda yapale MAGHAERIBI mwa ULAYA?!
 
Ingependeza kama ungesoma msg more than one,kuna mshikaji hapo juu kadadavua vizuri tu,wewe unaona uwingi wa watu ndio kupunguwa kwa mshahara? Before you reply me again please read my previous messages.
Hapana Trondheim, Hawa jamaa wametupiga gap kubwa sana. Na utabaki mfano wa kuigwa maana wamepiga hatua from zero to hero ndani ya miaka 40 tu na kufikia nafasi ya pili duniani. Ni lazima tukubali hawa jamaa wanakimbiza tu na wataendelea kutukimbiza kwa muda mrefu.
Hii nchi yako ya viwanda inazingua sana
 
Back
Top Bottom