Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Wow yaani kama mbingu na ardhi..mbaya zaidi hawa wachina ndio kigizo chetu, kikubwa,Utasikia wachima hawaongei English wachina rafiki wakweli, wazungu wanawapenda watu wao...ndio maana serikali inachukia watanzania kwenda Ulaya.
Inategemea na population ya nchi, nchi kama uingereza yenye idadi ya watu milioni 68 na ushee watashindwaje kuwalipa raia wake huo mshahara ulioutaja!!!! Population ya china with a population of around 1.4 billion in 2019, sasa unategemea watalingana!!!!
Wengi wa watu hauwezi kuwa ndio sababu ya kuwalipa watu mshahara mdogo hii akili toweni kichwani .Inategemea na population ya nchi, nchi kama uingereza yenye idadi ya watu milioni 68 na ushee watashindwaje kuwalipa raia wake huo mshahara ulioutaja!!!! Population ya china with a population of around 1.4 billion in 2019, sasa unategemea watalingana!!!!
883,200/=Zibadilishe kwenye pesa za madafu tuone ni sh ngapi kisha linganisha na nchi yako
At the same time linganisha population ya China na hizo nchi nyingine zenye neema
Na gharama za .maisha kwenye hizo nchi zote zipoje compared na China
Wengi wa watu hauwezi kuwa ndio sababu ya kuwalipa watu mshahara mdogo hii akili toweni kichwani .
China itachukuwa miaka kadhaa ili kuwa na life standard kama za Nchi so called MABEBERU na Ndio maan China ndio taifa lenye uchumi mkubwa baada ya America lakini baado ni third world country. Hiyo tu inatosha kukusaidia kunyambua mambo mengi.
Du misifa yote hiyo kwa wachina mshahara mdogo hivo? Yaani mwezi mzima Dola 380?
Bora ibadilishwe 100 tenaMwaka huu mnaweza kuongezewa mishahara, kuwapa pipi mdomoni wakati katiba ikibadilishwa.
Kima cha chini hiko boss ina maana mfagiaji wa barabara anapewa pesa hizo sawa na mtu Mwenye diploma au baadhi ya wenye digrii nchini kwetu...na bado China wanapandisha mshahara
Laki 3Hivi Tanzania kiasi Cha chini ni kias gani kwa watumish was serikali?
Hshahaha na bado population yao kubwa lakini wameweza
Jamaa wako vizuri wanafukuza mwizi kimya kimya
27,0000Hivi Tanzania kiasi Cha chini ni kias gani kwa watumish was serikali?
270,000Hivi Tanzania kiasi Cha chini ni kias gani kwa watumish was serikali?
Zibadilishe kwenye pesa za madafu tuone ni sh ngapi kisha linganisha na nchi yako
At the same time linganisha population ya China na hizo nchi nyingine zenye neema
Kumbuka wako 1.4 billion na hicho ni kima cha chini. Nchi yako ya viwanda licha ya kuwa milioni 60 lakini kima cha chini ni 270,000/= Tshs. Kuna usawa hapo ?Du misifa yote hiyo kwa wachina mshahara mdogo hivo? Yaani mwezi mzima Dola 380?
Ingependeza kama ungesoma msg more than one,kuna mshikaji hapo juu kadadavua vizuri tu,wewe unaona uwingi wa watu ndio kupunguwa kwa mshahara? Before you reply me again please read my previous messages.Kumbuka wako 1.4 billion na hicho ni kima cha chini. Nchi yako ya viwanda licha ya kuwa milioni 60 lakini kima cha chini ni 270,000/= Tshs. Kuna usawa hapo ?
Ungejua gharama za usafiri, umeme, maji, chakula na malazi zilivyo chini wala huwezi kushangaaDu misifa yote hiyo kwa wachina mshahara mdogo hivo? Yaani mwezi mzima Dola 380?