Kazi kweli kweli Segelea na Ukonga vyote hivo vinapatikana bule, Gadaf yeye aliwapa free na mishahara haikuwa ya njugu kama hivo...nilifananisha na nchi za wenye akili sio hapo bongo wala vumbi...sawa rafiki?Ungejua gharama za usafiri, umeme, maji, chakula na malazi zilivyo chini wala huwezi kushangaa
Kama 800k+ apo yani ni "kima cha chini" huku kwetu mavumbini kima cha chini ni laki ngapi? Basi china wako vizuri sana ila kufikia marekani kwa kima chini bado.Zibadilishe kwenye pesa za madafu tuone ni sh ngapi kisha linganisha na nchi yako
At the same time linganisha population ya China na hizo nchi nyingine zenye neema
Gharama zamaisha za UCHINA utazifananisha nanchi gani labda yapale MAGHAERIBI mwa ULAYA?!Kwa gharama za maisha zilivyokuwa kubwa kule China hiyo ni pesa ndogo sana Mkuu.
Hapana Trondheim, Hawa jamaa wametupiga gap kubwa sana. Na utabaki mfano wa kuigwa maana wamepiga hatua from zero to hero ndani ya miaka 40 tu na kufikia nafasi ya pili duniani. Ni lazima tukubali hawa jamaa wanakimbiza tu na wataendelea kutukimbiza kwa muda mrefu.Ingependeza kama ungesoma msg more than one,kuna mshikaji hapo juu kadadavua vizuri tu,wewe unaona uwingi wa watu ndio kupunguwa kwa mshahara? Before you reply me again please read my previous messages.
Nikweli kabsa , mtu anahisi Dola ni nyingi anasahau kuwa gharama ya maisha pia kwao ipo juuHiko ni kima cha chini na pia gharama za maisha kwa china si ghali kama nchi nyingine zenye levo kama yao kwenye uchumi.