China kuzindua mwezi wa bandia kumulika mitaani usiku

Hizi ni dalili za mwisho wa Dunia, mwisho watadisturb forces zinazofanya sayari kuzunguka katika mihimili yake na hivyo kugongana hovyo.
Kweli binadamu kajitengenezea mavumbuzi mengi, hadi mwezi bandia!! hakika yesu anarudi haraka.
 
Hizi ni dalili za mwisho wa Dunia, mwisho watadisturb forces zinazofanya sayari kuzunguka katika mihimili yake na hivyo kugongana hovyo.

[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Mbona Kama ishu normal Sana hiyo
 
HABARI

zaidi ya

HABARI

•Serikali ya mji wa chengdu,CHINA ipo mbioni kujitengenezea mwezi wao ambao utakuwa ukiangaza badala ya taa za barabarani,inaelezwa mwezi huo utakuwa na uwezo wa kuangaza mara nane zaidi ya mwezi wa kawaida na inatarajiwa kuzinduliwa mwaka 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…