China kuzindua mwezi wa bandia kumulika mitaani usiku

China kuzindua mwezi wa bandia kumulika mitaani usiku

Simulated
FB_IMG_15399751944737088.jpeg
 
HABARI


zaidi ya



HABARI


•Serikali ya mji wa chengdu,CHINA ipo mbioni kujitengenezea mwezi wao ambao utakuwa ukiangaza badala ya taa za barabarani,inaelezwa mwezi huo utakuwa na uwezo wa kuangaza mara nane zaidi ya mwezi wa kawaida na inatarajiwa kuzinduliwa mwaka 2020.
Vzur
 
Sawa ila vipi watu ambao wanapenda giza? hawaoni watalkua wamewanyima haki zao?
Bado mimea duu that is not good bora natural environment iwepo tuu au uwe unawashwa na kuzimwa pindi unapohitajika coz kila kitu kinaumuhimu wake.
Mimi siwezi lala bila usiku kuingia kwa hiyo sitalala tena maisha yangu au?
 
Hizi akili zetu nyingi, zitakuwa kuilipua hii dunia iwe ndio mwisho wake.
 
Back
Top Bottom