CHINA KUJITENGENEZEA MWEZI WAKE
IFIKAPO 2020
Gazeti la Independent limeripoti taarifa ya kushitua kidogo baada ya jiji la Chengdu nchini China kutoa taarifa ya kujitengenezea mwezi wake ( moon) ambao utaangaza ji lote kama mbadala wa taa zilizofungwa katika jiji hilo lilipo kusini magharibi mwa China.
Watalifunga tufe ama gimba kubwa angani usawa wa kilomita 10 mpaka 15 kutoka uso wa dunia ili liwe na uwezo wa
kuangaza mara nane zaidi ya mwezi wa asili wa mwenyezi Mungu.
Wanasayansi mbalimbali duniani hususani wa masuala ya Anga
bado wapo katika kitendawili kwa China kufanikisha mpaka huo Chanzo kikuu cha mwanga cha tufe hilo kubwa kitakuwa ni
miyonzi ya jua (Solar energy ) na watalifanyia utaratibu wa kutembea taratibu pasipo kuvuka anga la jiji hilo likiwa na uwezo wa kumulika eneo la kilomita 80 mpaka 100.
Astronauts wengi wamehoji endapo China watafanikiwa na mpango huo kutokana na umbali huo kugusa anga la kimataifa ambalo linatakiwa kuwa huru' sasa ufungaji wa artificial moon inaweza kuwa changamoto mpya katika Jumuiya ya kimataifa katika Ulimwengu wa Sayansi za anga.
Serikali ya jiji hilo tayari wametoa taarifa za awali kwamba, utengenezaji wa mwezi huo ulianza takribani miaka saba!
iliyopita na majaribio ya awali yamefanyika na kuonesha Chanzo kikuu cha mwanga cha tufe hilo kubwa kitakuwa ni miyonzi ya jua (Solar energy ) na watalifanyia utaratibu wa kutembea taratibu pasipo kuvuka anga la jiji hilo likiwa na uwezo wa kumulika eneo la kilomita 80 mpaka 100.
Astronauts wengi wamehoji endapo China watafanikiwa na mpango huo kutokana na umbali huo kugusa anga la kimataifa ambalo linatakiwa kuwa' huru' sasa ufungaji wa artificial moon
inaweza kuwa changamoto mpya katika Jumuiya ya kimataifa katika Ulimwengu wa Sayansi za anga.
Serikali ya jiji hilo tayari wametoa taarifa za awali kwamba, utengenezaji wa mwezi huo ulianza takribani miaka saba! iliyopita na majaribio ya awali yamefanyika na kuonesha mafanikio kwa zaidi ya asilimia 80.
Hatua wanayofanya sasa ni utafiti wa rangi ambayo inaweza kuakisi mwanga kutoka katika jua kama mwezi asilia licha ya kuufungia mabaya yenye vibao vya solar kwa ajili ya kuchukua
nishati katika jua.