Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #21
Hatua nyingi za uzalishaji wanafanya waoKwa mfano kampuni ya BYD wao wanafanya kilakitu wenyewe kuanzia kutengeneza chuma,parts za magari Yao , body , electronic accessories, battery na vingine vyote.
Pia wana uwekezaji mkubwa kwenye uchimbaji wa madini ya lithium wanayaprocess na kutengeneza betri
Na bado logistics wanafanya wao wenyewe wana Ro-Ro carriers kama 8 za kusafirisha magari duniani kila moja una uwezo wa kubeba magari 7000+