Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #21
Hatua nyingi za uzalishaji wanafanya waoKwa mfano kampuni ya BYD wao wanafanya kilakitu wenyewe kuanzia kutengeneza chuma,parts za magari Yao , body , electronic accessories, battery na vingine vyote.
Labour charges kwa us na Europe ni kubwa ndio maana production cost pia inakuwa kubwa.Kinachoibeba China saivi ni population
China is second pupulated country afyer India.
Population yao tu, Inafanya soko la ndnai la magari kuchangamka kwa kasi kabla hawajalikuta la nje yaani USA and Europe.
Vitu vinavyo zalishwa USA vinabei bila sababu za msingi, ni ngumu kucompete china.