welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Hao Wala nyoka na roho zao mbaya wapo wapo tuSi ndo hawahawa walisema Spika wa US asifike Taiwan? Wakawa na mazoezi mazito ya kijeshi? Mwisho wa siku Peros akatua salama na kuondoka salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Wala nyoka na roho zao mbaya wapo wapo tuSi ndo hawahawa walisema Spika wa US asifike Taiwan? Wakawa na mazoezi mazito ya kijeshi? Mwisho wa siku Peros akatua salama na kuondoka salama.
Vipi sisi ambao bandari imetushinda kuiendesha?Hao Wala nyoka na roho zao mbaya wapo wapo tu
Air Force One ni Code tu mkuu hata leo Biden akipanda Bombardier yetu ikiruka itapewa iyo code ya Air force One, Ivo hakuna ndege Physical yenye jina la Air force oneTena US walivyokuwa wahuni yule mama walimpandisha ndege ya Rais Air Force One, ili kama China ataangusha ndege ya Rais wa US kuwe na sababu ya maana kwa US kumshughulikia Mchina lakini wachina wakabaki kuisindikiza ile ndege kwa macho tu, maamae
Si ndo hawahawa walisema Spika wa US asifike Taiwan? Wakawa na mazoezi mazito ya kijeshi? Mwisho wa siku Peros akatua salama na kuondoka salama.
Kwanini wamezuia mtandao wa 5gKwaiyo China wanapapatua waondolewe vikwazo vya technologia ya sayansi, ndio maana tulikuwa tunawambia humu kwamba China technolojia yake yote aliyonayo ipo chini ya US na kwamba China hawezi kununa na US maana ndie anayemuweka mjini.
Kwanini wamekubaliwa kuzuiwa ?Kwanini wamezuia mtandao wa 5g