China na Russia kamwe hawawezi kutumia hiyo chanjo ya mRNA ya kampuni ya Pfizer (Billgate) na BioNTech (Mjerumani): Kwa nini Afrika tulazimishwe?

Kwahiyo hakuna wanaokufa au waliokufa apo kwenu Tz?
Juzi nimeenda clinic mojanhapa mjini...
Mazungumzo na daktari nikamwambia nilikuwa kwenye timu ya kitafiti mikoa ya pembezoni kwa miezi miwili.. na najisikia.uchovu na kichwa kinauma.

Wamerun tests on me.. Sana wameangalia Malaria, am mkojo. Na sio hata Full blood picture.. wamelamba 99k. Nimeongea na junior doctor GP, ambaye hata 10k ya consultation siwezi mlipa, prescription ilikuwa ni vitamin c, zinc, vitamin d, na Antibiotic.

Just like these small outlets zinavyotumia huu ugonjwa na habari zake kukamua watu pesa.. na big corporations are doing the same.

BTW swala la watu kufa halijaanza leo.. watu wameendelea kufa since the beginning of time. Kufa kupo. Unadhani kuivaa barakoa na korona isikupate miraculously utapaa kama Enoch!?
 
Ila we jamaa ni kilaza beyomh measure.

Unaijua hata MRI scanner? unawezaje kufanya diagnosis inaofanywa Na hio machine kwa kumuangalia mtu .
Kama wewe ni medical doctor basi utakuwa kati ya hawa medical doctors wetu ninaowaongelea. Hizi mashine kwanza ni za hivi karibuni tu.

MRI Scan machine ilivumbuliwa na Dr Raymond Damadian huko America mwaka 1978 na ilipata approval ya FDA kutumika mahospitalini mwaka 1986. Huku Tanzania ilianza kutumika kwa mara ya kwanza katika hospitali ya Agha Khan Dar es Salaam mwaka 2014. Hospitali ya taifa ya Muhimbili ilipata mashine hiyo mwaka 2017 kutoka kwa JPM. Hadi sasa ni hospitali chache sana zenye MRI machine. Hata hospitali zenye CT scan machines ni chache, nazo zimeanza kuingia Tanzania miaka ya 2000s.

Kwa hiyo wewe huwezi kufanya diagnosis bila kuwa na mashine za MRI, CT scan, Dopler Utrasound, USS, X ray machine, ECHO machine, digital laboratory machines etc. Ukikosa hizo mashine udaktari wako unakata pumuzi.

Hiyo ndiyo elimu ambayo wazungu wameamua waafrika wafundishwe. Ile original wanataka wabaki nayo wao wazungu. Hiyo elimu original ndiyo inawezesha kugundua hizo diagnostic tools mbali mbali kurahisisha kazi ya management of diseases.

Nuclear Magnetic Resonance
Imaging Scan (MRI) identifies atoms by how they behave in a magnetic field. Kama zilivyo diagnostic tools zote zina false positives na false negatives kwa kiwango chake. Hakuna iliyo 100% accurate. Kwa mfano MRI kwa magonjwa ya menisci za goti (meniscal pathology) false positive rate yake si chini ya 15%. Hii inamaanisha kama wewe unaamini tu MRI utawafanyia operesheni ya goti watu 15 kati ya 100 ambao hawana ugonjwa wo wote wa goti. MRI scan ina false negative rate isiyopungua 12%. Hii kwako unayeamini MRI ina maana kuwa kati ya wagonjwa 100 wenye meniscal disease wagonjwa 12 utaacha kuwafanyia operesheni ya goti kwa sababu tu MRI imesema hawana tatizo hilo. Hawa ndiyo madaktari wetu ambao wazungu wanataka tuzalishe.

 
Watu wa conspiracies hao bila utafiti wowote ule.

Kafa Doctor mmoja (tena sio kwa sababu ya chanjo) basi Headline imekuwa Doctor kafa kwa sababu kachukua chanjo? je vipi hao 99.99999% ambao wamechukua chanjo na hawajafa?

Ushahidi wa Waafrika kupenyezewa pesa na kutumika kama guenie pigs uko wapi? Yaani waliposema kama chanjo zikipatikana ziepelekwe Afrika kwanza kwa sababu ya ubovu wa huduma za afya, watu wakaja juu! 😀 Wakaona isiwe tabu, wakaanza kupeana wenyewe kwa wenyewe mabeberu, hivi sasa hao mabeberu wameanza kugombania hizo chanjo, huku kima wa kiafrika akizikataa ilhali elimu ya biology ya secondary inampiga chenga. Sasa Rais mwenye Phd yake, chanjo yake iko wapi watu waanze kuitumia? Maana Russia na China wao wametengeza chanjo zao, hawana sababu ya kutaka chanjo kutoka kwengine, wewe mwenzangu wa miti shamba na kusaka hela za majini tiba yako iko wapi?

Vichwa vitupu kabisa Afrika! Sometimes, siwalaumu waliokuja kuwauza waafrika kama watumwa.
 
ilikuwaje corona ikapungua maambukizi mwaka jana June to July?

Pili,imekuwaje imerudi tena six months later tena kwa spidi?
Imerudi tena kwa sababu kirusi icho kimeweza kukaa kwa mda mrefu mpaka kikaji update katika kupambana. Na mkizembea kwa ujinga huu wa kukataa chanjo, ndio kitakuja kuwa kibaya zaidi halafu uje uulize mbona after another six months spidi imekuja kwa spidi zaidi.
 
Usichoelewa wewe ni kuwa hii corona tishio kwa sababu inapofika stage ya kuchokora mapafu ndio utaona June July. Nina jamaa yangu UK amefariki kwa huu ugonjwa. Alilazwa miezi mitatu kwenye akiwa na machine ya kupumulia mpaka amepata coma, alikuwa yupo 100% on assistance ya kupewa oxygen, hata alipoamka wakaona kuwa tayari ataweza kupumua, kitendo cha kuichomoa tu machine wakamuona hawezi kupumua wakamrudishia, kufanya utafiti wakakuta tayari hana uwezo wa kupumua mwenyewe kivyovyote vile na wakaamua kumuondolea mashine na kufariki. Hii kitu ikianza kusumbua mapafu yako yanafanya matobo na kupungua kufanya kazi. Ukifikia stage umelazwa na kupewa hio mashine, ukitoka hujawa mzima, umepata afadhali tu lakini the damage is done.
 
Rwanda wamenunua chanjo ya Oxford/AstraZaneca ya Uingereza kupitia mpango wa COVAX wa WHO. Hii chanjo haitumii mRNA bali inatumia virus vya mafua ya sokwe mtu (Chimpanzee flue virus) waliopunguzwa nguvu. Ni rahisi kuitunza kama chanjo zngine tunazotumia. Chanjo hii imegundulika huko Afrika kusini kwamba haina nguvu yo yote kwa waafrika. Hivyo Rwanda wamepoteza pesa yao bure. Ni matrillion ya pesa ambazo World Bank inakopesha kwa udhamini wa Africa Development Bank.
 
Bahati mbaya ni kwamba hili janga hapa nchini linachukuliwa kimitazamo ya kisiasa na sio kitaalamu.........

Kuna wanaoficha vifo na kuna wanaofurahia vifo.......

Watu tena hawatazami maoni bali wanaangalia mtoa maoni anatokea upande gani alafu ndio aamue kuwa ayapinge au akubaliane nayo......
 
I second u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…