China na Tanzania siyo tu marafiki bali ni ndugu wa damu

China na Tanzania siyo tu marafiki bali ni ndugu wa damu

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini siyo tu raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi. Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi.

wasiojua historia ndiyo watashangaa, lakini China siyo tu rafiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu.

Mungu ubariki udugu wetu kati ya China na Tanzania, amen.

udugu wetu wa damu uliasisiwa na Hayati J.K. Nyerere kwa upande wa Tanznaia na Hayati Mao tse tung kwa upande wa China.

Soma historia uelewe, someni vitabu.

matunda na upendo tunao ushuhudia leo hii kati ya Rais Xi Jinping wa CHINA na Rasi Samia Suluhu wa TANZANIA ni matokeo ya udugu wa damu ulio asisiwa na hao "wajamaa" wa enzi hizo JKN na Mao.

ambapo sasa Rais Samia anaimarisha zaidi udugu wetu.
 
Binafsi naamini Kuna wakati neema hupitia kwa yule unaye dhani Ni adui yako.haijarishi mchina ni rafiki au adui tunacho jari Ana masrahi gani kwa taifa letu la tanzania!

Tuache ushamba wa kupinga Kila kitu hiyo Ni aina nyingine ya uchizi wa mitandaoni nakumbuka Kuna msanii Alisha wai kuimba kwamba ujanja ukizidi unageuka mshamba! kuna watu hujifanya wanajua Kila kitu but they have nothing's" wengi wao wachoma mikaa wana lala kwa Dada zao" magazeti ya kugongea" bando za niwezeshe" kazi ku comment na kupost ujinga kwenye post za msingi kwenye taifa letu"ifike mda tuku baliane kwamba she is the president don't matter what'.

HUYO ndiye akiamua usilalae hulali,akiamua upigwe unapigwa,akiamua kibeliti ununune 100000/=uta nunua tuuu hiviiii kipindi JPM anamchagua kuwa vice president hakuwaona Bibi zenu?

Shangazi zenu wajomba zenu? aliwaona Ila aliona kitu kwa huyu mnaye mdharau na kumdhihaki kisa kawapa uhuru na Uhuru huo huo ndo mnautumia kumdhihaki ANY WAY IMISS YOU JPM.
 
Udugu tuna utao wapi na wachina?? Mimi na wewe tu yawezekana hatuna udugu wa damu...!

Huyu mchina huyu?

Labda ume tufananisha, Au labda wewe sio mwenzetu....
 
Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini sio tu Raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi.

Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi.....

wasio jua historia ndio watashangaa lakini China sio tu RAFIKI yetu bali ni ndugu yetu wa damu.

Mungu ubariki udugu wetu kati ya China na Tanzania, amen.
Sasa hivi hakuna cha Urafiki, ni UBEPARI TU. Bepari hana rafiki ni pesa tu. China ya leo sio ile ya kijamaa, na urafiki si wa kihistoria bali ni wa kibiashara.

Msijidanganye mkaliwa. Nendeni na akili zenu na pelekeni wataalamu kujadili kila mambo ya muhimu. Achana na neno URAFIKI.
 
Mtoa mada jitafakari aisee. Yaani bora ungeishia kusema undugu ila undugu wa damu? Kwahiyo wewe una damu ya kichina hapo, au Rais Xi Jinping ana damu ya kimakonde? Sijui watu wengine mnawaza kwa kutumia nini sijui, hii yote kujipendekeza tu au kuna lingine?

Umetia kinyaa sana aisee hiii thread yako
 
Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini sio tu Raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi.

Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi.

wasio jua historia ndio watashangaa lakini China sio tu RAFIKI yetu bali ni ndugu yetu wa damu.

Mungu ubariki udugu wetu kati ya China na Tanzania, amen.
Wewe Una undugu wa damu na Mchina? Ushuzi!!
 
Tukija shtuka watutawala na kutufanya watumwa
 
China anataka kujipanga bongo maana anaona Marekani na Western countries zimejipanga Rwanda na Kenya. Wanataka wawekeze haswaa kiuchumi na kiusalama ingawa kiusalama walishawekeza toka zamani sana ila sasa hivi wanaongeza zaidi. NB zoezi la Dragon Fly wadhamini wake ndio hao sasa kama milikua hamjui.
Ile belt ya china inapgwa Vita na wazungu,bandari ya bagamoyo inawagonganisha,tukichanga vizuri karata tutafaifika kwenye bandari bmoyo na gesi
 
Ziara ya mama ya kimkakati hio, ni onyo kwa wanaodhani Bongo imelala. Hio ni statement kwamba tutaingia Congo kumsaidia Tshisekedi, sasa wanaotaka kutujaribu waanze wapate kipigo cha mbwa mwizi. Slim boy amejitahidi kuongea na Nyusi wa mozambique bila kujua kua wa Mozambique ni wetu sana.
 
Ziara ya mama ya kimkakati hio, ni onyo kwa wanaodhani bongo imelala. Hio ni statement kwamba tutaingia Congo kumsaidia Tshisekedi, sasa wanaotaka kutujaribu waanze wapate kipigo cha mbwa mwizi .
Fafanua mkuu
 
Hivi vijamaa vyenye macho madogo sio vya kuviamini
 
Back
Top Bottom