- Thread starter
- #41
wabongo wanacho jua wao ni kuchapa maneno na kula bata. uvivu na uzembe ndio jadi. badilikeni.
tuwaige ndugu zetu wa damu wachina jinsi wanavyo piga kazi usiku na mchana.
unakuta mkandarasi wa kichina yupo msituni anakesha na vibarua lkn mbongo thubutu!!
mbongo akipokea tu hela maneno yanaanza na kula bata, kazi hamna.
tubadilike jemeni, tuwaige ndugu zetu wadamu kwa kuchapa kazi kwa bidiii kwa maendeleo yetu na vizazi vyetu, tuachane na maneno mengi na visingizio visivyo vya maana, hayo yanaturudisha nyuma sana.
Mwenye nguvu ungana nae ili na wewe usonge mbele, acheni wivu wa kizamani, China ni mwamba wa uchumi duniani.