Mnategemea kunufaika kwaninj masiunde vya kwenu? always kutegemea misaada tu waliyotolea jasho wenzenu, af mnataka mpate kiwepesi.
Hakuna undugu kwenye masuala ya maendeleo, hata huyo rais wa china msimuone hivyo sura ya kipole na macho malegevu, hao ni zaidi ya mashetan, hawachelewi kuwabadirikia, mipango yao mbeleni ni kuja kuitawala Africa nzima ktk kila nyanja, ndiomaana wanajitahidi sana kulegeza masharti yao ya mikataba na kuruhusu bidhaa nyingi na huduma nying za china kuenea afrika.
Baada ya muda walioukusudia ni wao kuja kurithi makoloni ya wazungu barani afrika, hapo ulaya yote itakuwa imefirisika na USA itakuwa imepoteza ushawishi kwa afrika.
Mnachotakiwa kujua ni kwamba, China inainunua afrika kwa kila hali, China inajitahidi hata kuwapa huduma na bidhaa ambazo kwa Uchumi wa Africa hatukustahili kuzipata lkn wao wanawapa kulingana na Pesa zenu na resources zenu, japo bidhaa anawapunguzia ubora(feki) si mnaona sasa bila mchina nahakika hata mtoa thread asingeleta uzi kupitia iyo Tecno yake ya lakimbili(joke[emoji23]), kupitia mchina , mmefanikiwa mpka kupata bidhaa za kielectronics ambazo kiuhalisia bila punguzo la mchina basi tungeita maji "MMAA" [emoji16][emoji23].
Wachina sio wajinga, wanajuwa kuwa ongezeko la watu nchini mwao ni kubwa hivyo kimbilio lao hapo mbeleni si USA wala ulaya bali afrika ambako ndipo eneo la kimkakati la kulinunua kupitia haya wanayowadanganya.
Vichwa vya viongoz wa kiafrika ni vyepesi kusahau mambo, hawakumbuki walichotendewa babu zetu kupitia ulaghai wa watu weupe, badala ya kujitahadharisha, wao ndio kwanza kutwa kuzurula huko na kusaini mambo yatakayowatatiza wazawa wajao.
2025 watakao fika hakikishen ama tuhakikishe hizi tawala za kishenzi hazivuki wala kuingia ikulu&bungeni