Mungu akusamehe hujui ulisemalo, hakuna viumbe hawana utu Wala shukrani kama Wachina, wale Jamaa ni the most corrupt viumbe hapa Duniani. Nawajua vizuri sana Wachina.Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini sio tu Raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi...
Vibaguzi hatareeMungu akusamehe hujui ulisemalo, hakuna viumbe hawana utu Wala shukrani kama Wachina, wale Jamaa ni the most corrupt viumbe hapa Duniani. Nawajua vizuri sana wachina
Namshangaa mleta mada, ameolewa siasa za kipuuzi mnooooo! Hawa ni zaidi ya shetaniVibaguzi hataree
Utu,yaan utu ndo wamekosa...wanatamani watutafune kama wanavyotafuna wanyama na wadudu woteHAKUNA Watu wapuuzi kama Wachina, hakuna Watu wezi kama Wachina, hakuna mtu asiye na utu kama Mchina. Dah
Sasa hivi hakuna cha Urafiki, ni UBEPARI TU. Bepari hana rafiki ni pesa tu. China ya leo sio ile ya kijamaa, na urafiki si wa kihistoria bali ni wa kibiashara.Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini sio tu Raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi.
Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi.....
wasio jua historia ndio watashangaa lakini China sio tu RAFIKI yetu bali ni ndugu yetu wa damu.
Mungu ubariki udugu wetu kati ya China na Tanzania, amen.
Wewe Una undugu wa damu na Mchina? Ushuzi!!Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini sio tu Raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi.
Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi.
wasio jua historia ndio watashangaa lakini China sio tu RAFIKI yetu bali ni ndugu yetu wa damu.
Mungu ubariki udugu wetu kati ya China na Tanzania, amen.
Ile belt ya china inapgwa Vita na wazungu,bandari ya bagamoyo inawagonganisha,tukichanga vizuri karata tutafaifika kwenye bandari bmoyo na gesiChina anataka kujipanga bongo maana anaona Marekani na Western countries zimejipanga Rwanda na Kenya. Wanataka wawekeze haswaa kiuchumi na kiusalama ingawa kiusalama walishawekeza toka zamani sana ila sasa hivi wanaongeza zaidi. NB zoezi la Dragon Fly wadhamini wake ndio hao sasa kama milikua hamjui.
Wazee wa kujitia hofuTukija shtuka watutawala na kutufanya watumwa
Fafanua mkuuZiara ya mama ya kimkakati hio, ni onyo kwa wanaodhani bongo imelala. Hio ni statement kwamba tutaingia Congo kumsaidia Tshisekedi, sasa wanaotaka kutujaribu waanze wapate kipigo cha mbwa mwizi .