Wachina sijawahi kuwaelewa hao jamaa... nusu watu nusu wanyama na makatili wa kutishaHakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini sio tu Raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi.
Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi.
wasio jua historia ndio watashangaa lakini China sio tu RAFIKI yetu bali ni ndugu yetu wa damu.
Mungu ubariki udugu wetu kati ya China na Tanzania, amen.
Hawa wachina walioko Tanzania umewahi kuona wanavyo wa treat ndugu zao wa damu watanzania wazawa au unaongea tu.Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini sio tu Raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi.
Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi.
wasio jua historia ndio watashangaa lakini China sio tu RAFIKI yetu bali ni ndugu yetu wa damu.
Mungu ubariki udugu wetu kati ya China na Tanzania, amen.
Mnategemea kunufaika kwaninj masiunde vya kwenu? always kutegemea misaada tu waliyotolea jasho wenzenu, af mnataka mpate kiwepesi.ni faida kubwa sana kwa Nchi yetu kuimarisha uhusiano mzuri na China.
ni ukweli usio pingika kuwa sisi China ni ya pili duniani katika Uchumi pamoja na technologia, hivyo Tanzania tunategemea kunufaika zaidi kutoka kwa ndugu zetu China.
China ni ndugu zetu wa damu, hivyo hawana budi kutuinua kiuchumi na kitechnolojia.
Mungu ubariki udugu wetu.
Jibuni hili swali wazee wa kuponda, mimi ndio naelekea Chiza Plaza mda huuhiviiii kipindi JPM anamchagua kuwa vice president hakuwaona Bibi zenu?
Walikufanyaje chali yangu usihukumu wote kwa waovu wachacheHAKUNA Watu wapuuzi kama Wachina, hakuna Watu wezi kama Wachina, hakuna mtu asiye na utu kama Mchina. Dah
Uharo mtupu huu.Mnategemea kunufaika kwaninj masiunde vya kwenu? always kutegemea misaada tu waliyotolea jasho wenzenu, af mnataka mpate kiwepesi.
Hakuna undugu kwenye masuala ya maendeleo, hata huyo rais wa china msimuone hivyo sura ya kipole na macho malegevu, hao ni zaidi ya mashetan, hawachelewi kuwabadirikia, mipango yao mbeleni ni kuja kuitawala Africa nzima ktk kila nyanja, ndiomaana wanajitahidi sana kulegeza masharti yao ya mikataba na kuruhusu bidhaa nyingi na huduma nying za china kuenea afrika.
Baada ya muda walioukusudia ni wao kuja kurithi makoloni ya wazungu barani afrika, hapo ulaya yote itakuwa imefirisika na USA itakuwa imepoteza ushawishi kwa afrika.
Mnachotakiwa kujua ni kwamba, China inainunua afrika kwa kila hali, China inajitahidi hata kuwapa huduma na bidhaa ambazo kwa Uchumi wa Africa hatukustahili kuzipata lkn wao wanawapa kulingana na Pesa zenu na resources zenu, japo bidhaa anawapunguzia ubora(feki) si mnaona sasa bila mchina nahakika hata mtoa thread asingeleta uzi kupitia iyo Tecno yake ya lakimbili(joke[emoji23]), kupitia mchina , mmefanikiwa mpka kupata bidhaa za kielectronics ambazo kiuhalisia bila punguzo la mchina basi tungeita maji "MMAA" [emoji16][emoji23].
Wachina sio wajinga, wanajuwa kuwa ongezeko la watu nchini mwao ni kubwa hivyo kimbilio lao hapo mbeleni si USA wala ulaya bali afrika ambako ndipo eneo la kimkakati la kulinunua kupitia haya wanayowadanganya.
Vichwa vya viongoz wa kiafrika ni vyepesi kusahau mambo, hawakumbuki walichotendewa babu zetu kupitia ulaghai wa watu weupe, badala ya kujitahadharisha, wao ndio kwanza kutwa kuzurula huko na kusaini mambo yatakayowatatiza wazawa wajao.
2025 watakao fika hakikishen ama tuhakikishe hizi tawala za kishenzi hazivuki wala kuingia ikulu&bungeni
Uharo mtupu huu, hakuna taifa janja na makini kama Tanzania unayoyasikia zambia na Uganda na kwingineko sahau kutokea Tanzania.Mnategemea kunufaika kwaninj masiunde vya kwenu? always kutegemea misaada tu waliyotolea jasho wenzenu, af mnataka mpate kiwepesi.
Hakuna undugu kwenye masuala ya maendeleo, hata huyo rais wa china msimuone hivyo sura ya kipole na macho malegevu, hao ni zaidi ya mashetan, hawachelewi kuwabadirikia, mipango yao mbeleni ni kuja kuitawala Africa nzima ktk kila nyanja, ndiomaana wanajitahidi sana kulegeza masharti yao ya mikataba na kuruhusu bidhaa nyingi na huduma nying za china kuenea afrika.
Baada ya muda walioukusudia ni wao kuja kurithi makoloni ya wazungu barani afrika, hapo ulaya yote itakuwa imefirisika na USA itakuwa imepoteza ushawishi kwa afrika.
Mnachotakiwa kujua ni kwamba, China inainunua afrika kwa kila hali, China inajitahidi hata kuwapa huduma na bidhaa ambazo kwa Uchumi wa Africa hatukustahili kuzipata lkn wao wanawapa kulingana na Pesa zenu na resources zenu, japo bidhaa anawapunguzia ubora(feki) si mnaona sasa bila mchina nahakika hata mtoa thread asingeleta uzi kupitia iyo Tecno yake ya lakimbili(joke[emoji23]), kupitia mchina , mmefanikiwa mpka kupata bidhaa za kielectronics ambazo kiuhalisia bila punguzo la mchina basi tungeita maji "MMAA" [emoji16][emoji23].
Wachina sio wajinga, wanajuwa kuwa ongezeko la watu nchini mwao ni kubwa hivyo kimbilio lao hapo mbeleni si USA wala ulaya bali afrika ambako ndipo eneo la kimkakati la kulinunua kupitia haya wanayowadanganya.
Vichwa vya viongoz wa kiafrika ni vyepesi kusahau mambo, hawakumbuki walichotendewa babu zetu kupitia ulaghai wa watu weupe, badala ya kujitahadharisha, wao ndio kwanza kutwa kuzurula huko na kusaini mambo yatakayowatatiza wazawa wajao.
2025 watakao fika hakikishen ama tuhakikishe hizi tawala za kishenzi hazivuki wala kuingia ikulu&bungeni
Hebu Mwambie ukweli huyo pimbi! Ndugu wa damu? Anawajua wachina huyu mbuzi? Waulize Wazambia na Sri Lanka! Mjinga sana!Mungu akusamehe hujui ulisemalo, hakuna viumbe hawana utu Wala shukrani kama Wachina, wale Jamaa ni the most corrupt viumbe hapa Duniani. Nawajua vizuri sana Wachina.
SawaWalikufanyaje chali yangu usihukumu wote kwa waovu wachache
tatizo letu tumezoea uvivu na visingizio visivyo kwisha!Hawa wachina walioko Tanzania umewahi kuona wanavyo wa treat ndugu zao wa damu watanzania wazawa au unaongea tu.
eb chief tupo history kidogo Tanzania na china uo udugu umeanza liniHakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini siyo tu raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi. Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi.
wasiojua historia ndiyo watashangaa, lakini China siyo tu rafiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu.
Mungu ubariki udugu wetu kati ya China na Tanzania, amen.
njoo kwenye jukwaa la historia, utpata historia ya kina kati ya China na Tanzania.eb chief tupo history kidogo Tanzania na china uo udugu umeanza lini
mmmh subir niend lakini hii naona kama ☕☕☕njoo kwenye jukwaa la historia, utpata historia ya kina kati ya China na Tanzania.
Baada ya nchi yetu kupata uhuru Baba wa Taifa aliamua kufuata siasa za kijaamaa na wakati huo China ndiye alikuwa Baba wa ujamaa na hapo ndipo udugu wetu wa damu na China ulipo zaliwa.
Nenda jukwaa la Historia ujifunze zaidi historia ya CHINA na TANZANIA.
udugu wetu wa damu uliasisiwa na Hayati J.K. Nyerere kwa upande wa Tanznaia na Hayati Mao tse tung kwa upande wa China.Undugu huo mlianza lini tena wajamen....mkigeuzwa mrudi hapa ulimi nje