China na Tanzania zashindwa kuafikiana kwenye ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Ujenzi wakwama

ulikua mradi mzuri sana,ungetoa ajira nyingi sana,tatizo tulitaka wawekezaji waweke dola bilioni kumi hapo kisha ujenzi ukiisha watukabidhi na kuondoka,hiyo biashara haipo
 
ulikua mradi mzuri sana,ungetoa ajira nyingi sana,tatizo tulitaka wawekezaji waweke dola bilioni kumi hapo kisha ujenzi ukiisha watukabidhi na kuondoka,hiyo biashara haipo
 
Pale siasa,inaporudish nyuma maendeleo.
Hili ni tatizo,maan miradi mingi haisimamiwi kikamirifu.zitto kaongelea sgr,Leo tena bandari.
Hill ni tatizo
 
Sio kweli.
Bandari ya bagamoyo ingekuwa kubwa kuliko zote. Tunahitaji bandari bagamoyo tatizo hela hatuna na wafadhili wanataka wakijenga waiendeshe miaka 50.
Kama bandari ingejengwa mji wa bagamoyo ingekuwa sanaaa. Na maendeleo yangekuwa makubwa
Kwani Lengo ni kuukuza mji wa Bagamoyo?
 
Mangungo alikuwa hajui kusoma, Mangungo wetu wa leo ni wasomi wazuri, na wengi walisomeshwa kwa pesa ya umma. Mikataba waingiayo ni kitanzi cha utumwa ndani ya nchi hii kwa kwa wajukuu na vitukuu vyetu.
 
Kwa Mnaamini KunaKichwa Cha Afrika, Kitakacho wazidi hao wachina Akili, Kupigwa Bado kupo palepale.... Watch and learn !!
 
Sio kweli.
Kuwa na bandari bagamoyo sio chanzo cha kuua bandari ya dar. Mteja atachagua atumie bandari gani apitishie mizigo yake. Bandari ya bagamoyo ingekuwa kubwa na ya kisasa. Na barabara pia ingeongezwa. Mji ungekuwa wa kibiashara huu.
Acheni majungu
 

Mkuu acha uongo mashart ya mkataba mojawwpo ni kutoendeleza bandaria ya dar ili wasipate ushindani usicheze na hela dollar 10bn . Mwekezaji atakayetoa hiyo pesa laziam ahakikishiwe return yao
 
Shart mmoja wapo lilikuwa kuto expand bandari yoyote nyungine kama Dar port , kitu ambacho mpaka sasa serikali imeshakiuka tayari maana bandari ya dar ikwenye upanuzi
Well hilo halikuwa sharti lenye maslahi ya muda mfupi kwa upande wa serikari hiyo port ya Bagamoyo udhani kama itaisha in less than five years na hata kujengwa awajaanza.

On the other hand kumekuwa na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa Bandari ya Dar even at full capacity it cannot manage the volume of coming shipments in deisred time, kutanuliwa lilikuwa ni jambo la lazima.

Hila realistic in the long run kwa jinsi population density ya inavyoongezeka na uchumi unavyozidi kuwa port ya Dar being close to the epicenter of nation's economic activities (mjini kwenye biashara na vitega uchumi vingine), location wise ni tatizo.

Sasa hivi tu nchi yetu bado maskini tayari traffic ya port ishaanza kuonekana tatizo ivyo kadri siku zinavyoenda na uchumi kukuwa unatarajia hili tatizo kuzidi kuwa kubwa, na any investment to accommodate incoming and outgoing haulage traffic in the future is going to be very expensive kutokana na location billions might have to be paid in compensation alone just to pave the way.

Kwa ivyo serikari iitazame port ya Bagamoyo au Tanga in terms of 30 years later ambapo ya Dar itakuwa at saturation point were there is nothing they can do anymore kutokana na limiting factors zinazotakana na mahala ilipo.
 
God bless Magufuli No to ill conceived foreign handouts !
 
The earlier we cancel it the better.
 
Hiki ni kisa kama cha kuhamia Dodoma.
Bila Bandari na JNIA jiji la Dar lingekufa kabisa kiuchumi.

Umepita sasa hivi kule mjini Ilala CBD (Posta, Upanga, n.k.)? Hakuna watu kabisa na ofisi nyingi ndogo ndogo zimekufa wateja wame hamia Dodoma.
 
ulikua mradi mzuri sana,ungetoa ajira nyingi sana,tatizo tulitaka wawekezaji waweke dola bilioni kumi hapo kisha ujenzi ukiisha watukabidhi na kuondoka,hiyo biashara haipo
Mkapa anataka Bandari ipelekwe kwao Lindi na mtwara hawajali kuwa kuna watu walilipwa fidia mabilioni ya shillings
 
I hope utampongeza pia utaposikia tumeburuzwa mahakamani kwa kuvunja mkataba. CCM ni ile ile ya kifisadi na mashabiki wake ni mazuzu wale wale
Kesi zitakuja nyingi kwa sababu wachina na waarabu walitoa mapesa mengi kwa ajili ya kuwalipa fidia wakazi jirani na hiyo Bandari ya Bagamoyo na walilipwa wachache pesa nyingi imepigwa na wajanja wachache kuna ufisadi mkubwa uchaguzi wa 2020 wachina hawatoa pesa kwa CCM lazima watafute njia ya kurejesha gharama zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…