Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa.
Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia takribani laki mbili tu Wachina wanaoishi na kufanya kazi nchini Russia. Hata nchi ndogo ya Uingereza ina raia Wachina wengi kuliko Russia, Wachina wako laki tano nchini UK!