China ni maswahiba wa Urusi ila raia wake wamajaa Marekani kuliko Urusi!

China ni maswahiba wa Urusi ila raia wake wamajaa Marekani kuliko Urusi!

Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa.

Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia takribani laki mbili tu Wachina wanaoishi na kufanya kazi nchini Russia. Hata nchi ndogo ya Uingereza ina raia Wachina wengi kuliko Russia, Wachina wako laki tano nchini UK!
Yaani na hili pia unajiita msomi Kwa hoja kama hii. Ulitaka kulinganisha hoja ya kitakwimu lazima ujue base factor Yako. Wachina wapo wangapi Vs warusi na taifa wanalokwenda. Pili lazima ujue migration parameters za nchi husika. Mfano: ukizaliwa marekani by default we raia wao. Pili Marekani ni nchi ya wakimbizi (yaani over 90%ni wageni). Lakini pia nchi wanazotoka raia wengine ni wenyeji.

Kuna suala la lugha, nchi zenye kuzungumza kiingreza Zina wageni wengi kuliko zenye lugha ya Asili. Pia urahisi wa kujifunza lugha yenyewe.

Kuna suala la economic factor, marekani amejuwa taifa lenye uchumi mpana muda mrefu hivyo Kila raia wa nchi zingine wamekiwa wakivutiwa kwenda huko. Haya yote hujayasema.

Je Kuna Raia wangapi wa Urusi China? Je Kuna Raia wangapi wa Urusi USA? Je mataifa mengineyo?

Washirika wa USA je raia wao wapo USA Kwa wingi vs China na Urusi?

Usipojadili Kwa kina haya yote hiyo ni ngonjera ya darasa la tatu
 
Back
Top Bottom