Russia hakuna issueIlitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa.
Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia takribani laki mbili tu Wachina wanaoishi na kufanya kazi nchini Russia. Hata nchi ndogo ya Uingereza ina raia Wachina wengi kuliko Russia, Wachina wako laki tano nchini UK!
Ndio Taifa la tatu kwa wahamiaji wengi hapa dunianiRussia hakuna issue
Na hawa pia wako kariako wakifanya umachinga nao wamekuja kuiba teknolojia?Unafikiri wanaibaje tekinolojia kutoka Ulaya na Marekani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila jibu nadhani ni la kihistoria zaidi kuliko unavyofikiri.
Mass immigration ya Wachina kwenda New World haijaanza Jana wala leo toka Karne ya 18 au zaidi.
Ikafikia hatuna Hadi wakawa na miji Yao midogo ndani ya miji ya Marekani
Nadhani ushawahi sikia China town
Tz wa ngapNdio Taifa la tatu kwa wahamiaji wengi hapa duniani
Hakuna takeimu sahihi ila linaweza kuwa la pili au la kwanza kwa Afrika mashariki.Tz wa ngap
Wapo hatuna ya expansion Ili waitawale duniaHawa Wachina wa Kariakoo wanajifunza mbinu za mawinga.
Lakini mbona hawako kwa wingi urusi na Iran ukilinganisha na Marekani, Australia, Newzeland na Canada?Ndio Taifa la tatu kwa wahamiaji wengi hapa duniani
Wachina nao wanapenda kupanda mwewe bhana! Safari za kwenda kwa miguu au treni sio.Russia imepakana na China, Wachina wala hawana haja ya kufunga safari😁
Mbona pia wasilundikane urusi huko kwa wingi pia wajifunze uwinga.Hawa Wachina wa Kariakoo wanajifunza mbinu za mawinga.
Amerika ina zaidi ya wachina milioni tano wakati Urusi ina takribani wachina wasiozidi laki nne.mmmh, sijajua wewe hizi takwimu umezitoa wapi wachina wanapatikana sana asia
Duniani?Hakuna takeimu sahihi ila linaweza kuwa la pili au la kwanza kwa Afrika mashariki.
Business opportunity au unadhani unaweza kuwashinda Wachina kwenye msuli wa mtajiNa hawa pia wako kariako wakifanya umachinga nao wamekuja kuiba teknolojia?