China ni mshirika wa Tanzania na CCM ni taifa linaloendelea kwa kasi sana

China ni mshirika wa Tanzania na CCM ni taifa linaloendelea kwa kasi sana

Narumu yetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
2,448
Reaction score
5,146
China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda mrefu, au kazi yetu kubwa ni kuteka na kuwaumiza viongozi wa dini wanaohubiri haki na amani tumeshindwa hata kutengeneza toothpick, ni aibu kwa serikali ya ccm iliyo madarakani kwa zidi ya miaka hamsini.
 
Back
Top Bottom