China(PRC) na Taiwan(ROC) bado wapo kwenye civil war

Kuna kiwango cha Wachina pia wasiokubali unification yoyote na Taiwan, iwe hiyo ya propaganda ya Peaceful au kwa vita.
Umesema hakuna Wataiwan watakao kubali Peacefully Unification[emoji848].
Ila kumbe Kuna kiwango cha Wataiwan kinachounga mkono peacefully Unification.
 
Hakuna vurugu kwa anaye dai chake kilicho halali. Ila kama sio halali ndio kitaleta vurugu.
 
Kuna kiwango cha Wachina pia wasiokubali unification yoyote na Taiwan, iwe hiyo ya propaganda ya Peaceful au kwa vita.
Ila ulisema hakuna anayetaka peacefully Unification na PRC. Kumbe wapo basi wasikilizwe.
 
Kwa upande wa Taiwan Huwa wanasikilizwa kupitia sanduku la kura, China nao wawasikilize raia wake wa Tibet, Uyghurs na wenye maoni mbadala kuhusu Taiwan.

Watibet walisikilizwa 1950 . Wauyghurs mbona Wana sikilizwa tu ndio maana Uhuru wao wa kiimani unaheshimiwa Ila tu usivunje sheria za nchi ya kisoshalisti ya kichina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…