duh,utawafanya walie na yao iko ndani ya vitabu 😀Wow! I truly lack words to tell GoK thank you. This will be a game changer in Kenya and the greater East African region in terms of Logistics.
IMF issues warning on Kenya's debt as govt. maintains level isWow! I truly lack words to tell GoK thank you. This will be a game changer in Kenya and the greater East African region in terms of Logistics.
Haha nlidhani hamtatumia loan
Sasa unaanza kuwajua wakenya ni watu wa aina gani, hoa ndiyo wakenya walivyo, ukiona mkenya anakukaribia ujue kuna kitu anatafuta, hawana udugu, urafiki au ubinadamu mbele ya maslahi yake, hukumbuki walivyoshirikiana na makaburu wa Africa kusini na kukataa kutoa hifadhi kwa wakimbizi wa Afrika Kusini, leo hii ndiyo wapo mbele kuiomba Afrika kusini iondoe visa kwa wakenya eti kwa sababu Kenya imeondoa viza kwa South Africans, ila Zhuma aliwakatalia kwa sababu anakumbuka Kenya ilichowafanyia huko nyuma.Hawa jirani zetu mimi nashindwa kuwashangaa maana mwanzoni walikuwa wanawaponda wachina kuwa ni wajamaa kama watanzania na kuwatukuza mabepari leo wanawakumbatia hawa makomredi na kuwatukuza, jueni hiyo ni product ya ujamaa.
Hawa jirani zetu mimi nashindwa kuwashangaa maana mwanzoni walikuwa wanawaponda wachina kuwa ni wajamaa kama watanzania na kuwatukuza mabepari leo wanawakumbatia hawa makomredi na kuwatukuza, jueni hiyo ni product ya ujamaa.
Nyundo imegonga msumari.Sasa unaanza kuwajua wakenya ni watu wa aina gani, hoa ndiyo wakenya walivyo, ukiona mkenya anakukaribia ujue kuna kitu anatafuta, hawana udugu, urafiki au ubinadamu mbele ya maslahi yake, hukumbuki walivyoshirikiana na makaburu wa Africa kusini na kukataa kutoa hifadhi kwa wakimbizi wa Afrika Kusini, leo hii ndiyo wapo mbele kuiomba Afrika kusini iondoe visa kwa wakenya eti kwa sababu Kenya imeondoa viza kwa South Africans, ila Zhuma aliwakatalia kwa sababu anakumbuka Kenya ilichowafanyia huko nyuma.
lazima tutumie loan PIA. maana our own source revenue has countless number of uses. we have to leverage.
Hasira na wivu zitakumaliza, first two phases tunalipia wenyewe, mazungumzo yanaendelea na wafadhili tofauti tofauti kama wanaweza kulipia phases zilizobaki, sio China peke yake, kuna Exim Bank ya Turkey, AfDB, na wengineo, lengo tupate mkopo wenye interest ndogo ili mradi usiwe white elephant, ila wakizingua Magu anamalizia mwenyewe bila mkopo..HAPA KAZI TU..Hahahaha "Tuta"- fund na pesa zetu hatuhitaji loan za mchina. Hii "tuta" tuliwaambia tangu zamani ni upuziii mtupu, it has never ever materialised in a country called Tanzania ni kama mbwa koko anayebweka bweka lakini ukimkaribia anatoka mbio mkia ameukunja na kujificha.
Hahahaha "Tuta"- fund na pesa zetu hatuhitaji loan za mchina. Hii "tuta" tuliwaambia tangu zamani ni upuziii mtupu, it has never ever materialised in a country called Tanzania ni kama mbwa koko anayebweka bweka lakini ukimkaribia anatoka mbio mkia ameukunja na kujificha.
Ila mkuu BAK si kila jambo kulipinga tu au kulijengea hoja kwa ajili ya tofauti za kisiasa
Tutaipiku Kenya, Tutajenga Bagamoyo,Tutajenga SGR, Tutajenga Pipeline, Tutajenga Highway, Tutatafuta kwa vyovyote vile habari za wakenya kwenye mitandao na kuwaletea hapa ili tutoe povu, Tutakuwa na Tanzania Air,Tutaikomboa bombardier toka Canada, Tutahakikisha Dar imefikia mji wa mombasa....Shida ni hawaleti evidence ya hata yote wanayo-tuta.
vipi umeme umerudi 😀Hasira na wivu zitakumaliza, first two phases tunalipia wenyewe, mazungumzo yanaendelea na wafadhili tofauti tofauti kama wanaweza kulipia phases zilizobaki, sio China peke yake, kuna Exim Bank ya Turkey, AfDB, na wengineo, lengo tupate mkopo wenye interest ndogo ili mradi usiwe white elephant, ila wakizingua Magu anamalizia mwenyewe bila mkopo..HAPA KAZI TU..