MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Dah! Hizo picha nyangau mkenya zinalewesha, hehehe!! Yaani vitendo sio blah blah, sasa Wabongo wameanza kuwapigia Wachina magoti baada ya kujitapatapa na kujishaua, huu mchezo unataka mikakati endelevu na sio kuongea ongea kusudi ufurahishe na kusifiwa tu.