hehehe,mbavu zinauma kwa kicheko,duh😀😀😀Hivi, ndege yao bado imekamatwa, ndio matatizo ya kujiweka kwenye ligi ya wakubwa wakati bado upo mchanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehe,mbavu zinauma kwa kicheko,duh😀😀😀Hivi, ndege yao bado imekamatwa, ndio matatizo ya kujiweka kwenye ligi ya wakubwa wakati bado upo mchanga.
Siku ile ile ulirudi, ila haukukatwa na monkey kama kwenu, vipi cholera hapo Nairobi katika five stars hotels?, vipi mgao wa maji hapo Nairobi, unga wa ugali vipi mnapata?vip
vipi umeme umerudi 😀
Bila aibu ukizingatia mlivyokua mnaimba huku, kwanza lazima Mchina atazaa na nyie maana mlimzingua sana kwa kumringia, lazima awatie mimba
bado hana ujeuri huo. tunaweka issue mezani tunapiga negotiation bila 10pc wala nini. then win win situation.
katika kipindi chote cha JPM hakutakuwa na mikataba ya hovyo. amesema bora aitwe unpopular President kuliko kufumbia macho mambo ya hovyo yanayotendeka.
Hayo ni matamko mnayapenda sana, lakini uhalisia...
aliomba hadharaniLeta evidence ya ulichosema!
Uchwara anajifanya yupo Ok upstairs kumbe nae ni fisadi tu.Huu mkopo mbona wa awamu ya nne uchwara akaufuta kwa kudai umegubikwa na ufisadi. Sasa umerudi tena!?
😡
Tanzania gets $7.6 bln loan from China's Exim Bank for railway
Baada ya kuufuta mkopo huu wakaenda Turkey kuwa kuomba mkopo.
Turkey, China caught up in rail tender confusion
On ascending to power last year, President Magufuli terminated the contract though the consortium had already built five kilometres of the line.
Subsequently, a former managing director of Reli Assets Holding Company was charged in court over the irregular award of the tender.
The original design ran from Dar es Salaam to Kigoma, branching off to Uvinza for the Musongati nickel mine in Burundi and extending to Kaliua.
The plan was to use Burundi as a logistical hub for supplying goods into the Democratic Republic of Congo and Rwanda.
I thought you were building with your own "cash", what happened?! ichoboy01CHINA YAAHIDI KUFADHILI UJENZI WA RELI KWA KIWANGO CHA KIMATAIFA (SGR)
BALOZI wa China hapa nchini, Wang Ke, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na kuahidi kuwa nchi yake iko tayari kushawishi taasisi za fedha ikiwemo Benki ya EXIM ya nchini humo kushiriki ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kimataifa baada ya kufanyika kwa upembuzi yakinifu wa mradi huo.
Alisema kuwa kutokana na ukubwa wa mradi huo, unaokadiriwa utagharimu Dola za Marekani bilioni 7.6 hadi kukamilika kwake, utahitaji kufanyiwa upembuzi yakinifu ili kukidhi masharti ya kupata mkopo kupitia Benki ya Exim na taasisi nyingine zitakazotaka kujenga mradi huo muhimu.
“Mradi huu ni muhimu na wa kihistoria kwa nchi hizi mbili, China ingependa kuona mradi huo unaboreshwa ili uweze kutoa huduma ya kusafirisha mizigo na abiria na kwamba kuimarika kwake kutaokoa miundombinu ya barabara kwa kuwa shehena kubwa ya mizigo itasafirishwa kupitia reli hiyo.
Aidha, Balozi Ke alisema kuwa nchi yake inasubiri pia kukamilika kwa taratibu za ndani kati yake na Tanzania ili mradi wa reli ya TAZARA uanze ili kuboresha usafiri na usafirishaji wa mizigo na abiria kati ya Tanzania na Zambia pamoja na nchi za maziwa makuu.
Balozi Ke alitumia fursa hiyo kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano kwa kukusanya kodi, kusimamia matumizi adili ya fedha za umma, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kupambana na rushwa.
Akizungumza mara baada ya mazungumzo na mgeni wake, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alisema kuwa Serikali imeridhia uamuzi wa China wa kufanya upembuzi yakinifu wa mradi huo wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) ili China kupitia taasisi zake iweze kujenga sehemu ya mradi huo.
“Tayari mradi umeanza kujengwa kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, kwahiyo kujitokeza kwa China kutaka kufadhili ujenzi wa mradi huo kutasaidia kukamilisha mradi huo muhimu kwa haraka na kwa wakati” Alisema Dkt. Mpango.
Alisema pia kuwa China imeonesha nia ya kusaidia kuujenga na kuupanga mji wa Dodoma kutokana na nchi hiyo kuwa na uzoefu wa kupanga miji ambapo nchi hiyo imeonesha nia ya kujenga miundombinu ya elimu, barabara, uwanja wa ndege wa kimataifa-Msalato, kujenga mfumo wa maji safi na maji taka pamoja na majengo ya kisasa.
Kuhusu biashara, Dkt. Mpango alisema wamekubaliana kuwa China itaisaidia Tanzania kukuza kiwango cha biashara ambapo takwimu zilizoko zinaonesha kuwa urari wa biashara kati ya nchi hizo unaonesha kuwa Tanzania imekuwa ikinunua bidhaa nyingi kutoka nchini humo kuliko inavyo uza bidhaa na huduma zake.
“Mwaka 2016 Tanzania iliuza China bidhaa na huduma zenye thamani ya Dola za marekani milioni 460 wakati China iliuza hapa nchini bidhaa zenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.2, kiwango ambacho ni kikubwa karibu
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango)
MY TAKE
Ni kama Mchina analeta Tanzania proceeding accrued in Kenya's SGR! [emoji23] [emoji115]
The first 600 km the money came from our pocket! Nowhere did we say we will build all the 2500 km by our cash! Unless u have a proof for ur statement I call ur post a disbelief that the same Chinos r availing us a soft loan to us while they charged u the whole hand n leg!I thought you were building with your own "cash", what happened?! ichoboy01
These neighbours from the south tho'... Truly Entertaining
Dude so when Exim bank gives kenya a loan you say tumeliwa, but when tge same bank gives you the loan you call it a soft loan?!The first 600 km the money came from our pocket! Nowhere did we say we will build all the 2500 km by our cash! Unless u have a proof for ur statement I call ur post a disbelief that the same Chinos r availing us a soft loan to us while they charged u the whole hand n leg!
Fool what r u trying to argue? Soft loan can be meaning terms n conditions r flexible also interest rates r lower. Huu wivu wenu unashangaza! Sasa unabisha kwamba km 600 tayari Fedha ipo? Au pia kuna km 2500 in total need to be built?Dude how on earth is $7.6 billion a soft loan?! Plus where is the first 600 km you are talking about... And please tell me how much it's total cost should be coz that's way too much money. That's already 16% of your GDP plus you're telling me there's more...
Dude so when Exim bank gives kenya a loan you say tumeliwa, but when tge same bank gives you the loan you call it a soft loan?!
Plus where is the first 600 km you are talking about... And please tell me how much it's total cost should be coz that's way too much money. $7.6 billion is already 16% of your GDP plus you're telling me there's more...
Kenyans banks!! Unaugua uchiziTutajenga kwa pesa zetu za ndani........... kwani how manufacturers loans are these people getting?
Exim bank
Standard Chartered
Kenyan banks
Swiss banks
....more 1.4billion dollars from standard chartered bank
The Standard Chartered Bank's Group on Wednesday agreed to give Tanzania a concessional loan of 1.46 billion U.S. dollars for the construction of the Morogoro-Dodoma section of the Standard Gauge Railway (SGR), said a statement by Tanzania's Ministry of Finance and Planning.
Tanzania secures 1.46 bln USD loan for SGR construction - Xinhua | English.news.cn
Tanzania to receive Sh452bn Credit Suisse boost for SGR, power
Nairobi-based bank to lend Tanzania $400m for SGR railway, gas
Trust me Chinese EXIM bank haitoi lolote hadi chinese company ipewe kazi ya ujenzi. Full stop.Kivipi mind u hiyo Fedha itaenda sections tofauti our SGR needs to get to Mwanza n Kigali n Bujumbura! So far Dar to Dodoma is U/C n this financing excludes that!
Nairobi bank doesn't mean owned by LDC Kenya.