China Threatens to Cut SGR funding If Kenya Bans Imported Chinese Fish

China Threatens to Cut SGR funding If Kenya Bans Imported Chinese Fish

Ndio hiyo ileee Ya UHURUTO 2013 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 917853
Tupia picha moja ya bullet treni yenu ya mizigo basi. [emoji1] Aisee mambumbumbu mnaendelea kuhadaiwa kila uchao. Umeona linavobeba double stack hapo juu? Dah! Nilisahau kwamba wewe ni mrundi. Nkurunzinza anasemaje jombaa? [emoji23]
 
Huna aibu kuonyesha huu uchafu Ni bora ungeonyesha Thika highway
Thika Highway ni habari ya jana. Kuna nyingine mpya inaitwa Outering Road ina interchange tano. Mkijenga interchange yenu ya pili nitag tafadhali.
 
Tupia picha moja ya bullet treni yenu ya mizigo basi. [emoji1] Aisee mambumbumbu mnaendelea kuhadaiwa kila uchao. Umeona linavobeba double stack hapo juu? Dah! Nilisahau kwamba wewe ni mrundi. Nkurunzinza anasemaje jombaa? [emoji23]
Du
Umehamia Personal Sio mada husika
Mrundi tena!!
 
China Threatens Kenya Over Fish Ban!

After Kenya banned the importation of Chinese tilapia in order to protect it's local fisherman, China came out with full anger and vengeance and threatened to impose trade sanctions on Kenya and not pay for the railway project they started that is now half way
 
Du
Umehamia Personal Sio mada husika
Mrundi tena!!
Usiwe na presha madam. Sina chuki bana huyo ni ndugu yangu, tunaelewana. Alisepa kutoka Bunjumbura baada ya kampeni zake dhidi ya Nkurunzinza kuangukia pua. Muulize atakueleza. [emoji1]
 
Yangu si ya kupatia shoga kama wewe. Yule ngozi nyeupe hukulipa hela ngapi kila raundi? 😂😂😂
😂🤣😂😂Naona umeshindwa ku support shoga mwenzako Kennedy unanigeuzia mimi😂😂Kweli hili povu la mwaka. Lakini nasikia pia huna malinda😂😂😂
 
Tanzania owes Sh234.7 billion.

View attachment 917877
Swali nije tupo hata top 10?? Mganda mwenyewe anatuzidi. Hiyo pesa niyakununua Dreamliner moja😂😂😂China haiji kichwa kichwa kwa serikali ya Tanzania. Niserikali makini. Pia tuna historia ya kiundugu. No way China ataifanya Tanzania kuwa damping area. Jiulize kwa nini kampuni zinazomilikiwa na serikali ya China zinataka kuwekeza Tanzania nasio Ethiopia au Angola??
 
The famous rezi erodisii is not there. Hawawezi kopa zaidi.wanaogopa maana wanajua China hawasamehei madeni
Janerose unajua kiasi ambacho China alikua tayari kukopesha Tz kwenye SGR ila Magufuli alikataa deal lao baada ya kuona limekaa kinyonyaji. Tena siyo kwa phases kama mnavyo pewa na kuambiwa mpokee samaki lasivyo mtanyimwa mkopo.
 
China hawezi fanya upuhuzi kama huwo ndani ya Tanzania. They know we are serious people. Kenya ndo nchi wanaweza kuendesha wanavyotaka.
Nyinyi watu fukara mchina anajua hamna pesa ya kununua samaki yake. Mnaweza tu nunua dagaa
 
Sisi hatukopi hovyo. Mikopo tunachukua ya world bank cause ina mashariti nafuu.
World bank watawasemehe ndo manake...china mnaeaogopa kisa hawana mchezo na deni lao..mtakwisha
 
Swali nije tupo hata top 10?? Mganda mwenyewe anatuzidi. Hiyo pesa niyakununua Dreamliner moja😂😂😂China haiji kichwa kichwa kwa serikali ya Tanzania. Niserikali makini. Pia tuna historia ya kiundugu. No way China ataifanya Tanzania kuwa damping area. Jiulize kwa nini kampuni zinazomilikiwa na serikali ya China zinataka kuwekeza Tanzania nasio Ethiopia au Angola??
China imewekeza Ethiopia kushinda nchi yoyote hapa Africa. Baki kwa mambo ya kuuza dhahabu, sio kwa mambo usioelewa
 
- The Chinese government threatened to impose economic and trade sanctions on Kenya over alleged hostile involvement

- China has currently not committed to the construction of second phase of Standard Gauge Railway from Naivasha to Kisumu

- President Uhuru Kenyatta is struggling to strike balance between the foreign lender and local businessmen

- Department of Fisheries cancelled applications for imports of Chinese fish and banned the same commencing January 2019

- China referred to move by Kenya as waging trade war threatening to retaliate with cutting funding

The chances of funding next phase of Standard Gauge Railway line from Nairobi Naivasha have drastically reduced after China the main financier of project threatened to impose trade sanctions on Kenya.

China is angry with Kenya's move to cancel all applications for importation of fish from their market terming the move as a trade war which they would retaliate to by cutting economic ties.

Send 'NEWS' to 40227 to receive all the important breaking news as it happens

READ ALSO: I am not worried about Kenya's debt to China - Uhuru Kenyatta

China threatens to stop SGR funding after Kenya bans Chinese fish imports
Kenyan leaders and traders had raised concern over the influx of Chinese fish in the local market. They said the imports were killing local sector. Photo: UGC
READ ALSO: Jacque Maribe could spend another night in remand despite court granting her bail

Speaking to a section of Kenyan politicians on Tuesday, October 30, China's Acting Ambassador Li Xuhang confirmed Kenya's department of fisheries had served their consulate with letter imposing ban of importation of fish from their market.

"We have received letter from the department of fisheries canceling all fish importation applications from China. The move is shocking and we could respond to it the was we did with the US after it imposed tariffs on goods from our markets," Xuhang said.
The department of fisheries was prompted to make the notice by President Uhuru Kenyatta's proposal to government officials to devise creative means to ensure Chinese fish which had flooded local market does not get into the country.
Just when you're about to cum ....badnews[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo propaganda ya ccm imegonga mawe
tapatalk_1541082461783.jpeg
 
Thika Highway ni habari ya jana. Kuna nyingine mpya inaitwa Outering Road ina interchange tano. Mkijenga interchange yenu ya pili nitag tafadhali.
Hahahaha, unajua maana ya interchange?,hamtokaa mjenge interchange, kama ambavyo hamtokaa mjenge BRT, mtaendelea kuzipa majina barabara za kawaida kwamba ni BRT, na Flyovers kwamba ni interchange.
 
Janerose unajua kiasi ambacho China alikua tayari kukopesha Tz kwenye SGR ila Magufuli alikataa deal lao baada ya kuona limekaa kinyonyaji. Tena siyo kwa phases kama mnavyo pewa na kuambiwa mpokee samaki lasivyo mtanyimwa mkopo.
Frankly speaking, I don't like their goods.Uhuru kafanya vizuri Kuban hizo samaki .these idiotic chinese can't be trusted. Vitu vyao vingi ni feki.I heard they even produce carcinogenic goods which they export for human consumption. Wakae na visamaki vyao huko
 
Back
Top Bottom