China Threatens to Cut SGR funding If Kenya Bans Imported Chinese Fish

China Threatens to Cut SGR funding If Kenya Bans Imported Chinese Fish

Frankly speaking, I don't like their goods.Uhuru kafanya vizuri Kuban hizo samaki .these idiotic chinese can't be trusted. Vitu vyao vingi ni feki.I heard they even produce carcinogenic goods which they export for human consumption. Wakae na visamaki vyao huko
Nakubaliana na wewe, umenipa uhakika kuhusu mapishi utakayo kua unanipikia [emoji41]. Ila fuatilia nilicho kwambia hapo juu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nawashauri mkazane zaidi
kwa alicho wafanyia mchina
Mungu anamuona
View attachment 917818
Yan hapo kitu kimebadilishwa rangi tu [emoji2][emoji2]
FB_IMG_1531565135706.jpeg
 
Hahahaha, unajua maana ya interchange?,hamtokaa mjenge interchange, kama ambavyo hamtokaa mjenge BRT, mtaendelea kuzipa majina barabara za kawaida kwamba ni BRT, na Flyovers kwamba ni interchange.
Hahaha! [emoji1] Very funny. Flyover, interchanges zote zipo na ziliongezeka kwa wingi chini ya utawala wa kweli wa rais mstaafu Mzee Emillio Mwai Wa Kibaki. Nashangaa hii 2018 ndio Bongo mnapata flyover yenu ya kwanza.
 
Hahahaha, unajua maana ya interchange?,hamtokaa mjenge interchange, kama ambavyo hamtokaa mjenge BRT, mtaendelea kuzipa majina barabara za kawaida kwamba ni BRT, na Flyovers kwamba ni interchange.
Interchange kwani ni nini kulingana na wewe? Hebu tueleze. Cc pingli-nywee Pingli-nywee wacha atufunze pengine hatujui.
 
Interchange kwani ni nini kulingana na wewe? Hebu tueleze. Cc pingli-nywee Pingli-nywee wacha atufunze pengine hatujui.
Usijisumbue, acha apambane mwenyewe na kamusi ya kiingereza. Huyo kawaida yake ni jamaa wa kuhamisha goal post, ukisema hili anaibuka na lingine. Mwishowe utajipata umeambukizwa ujinga.
 
Usiwe na presha madam. Sina chuki bana huyo ni ndugu yangu, tunaelewana. Alisepa kutoka Bunjumbura baada ya kampeni zake dhidi ya Nkurunzinza kuangukia pua. Muulize atakueleza. [emoji1]
Unamzushia bwana
huyo nimewahi muona live
Sivile unavyo mdhania labda utani wenu bwana
 
Hahaha! [emoji1] Very funny. Flyover, interchanges zote zipo na ziliongezeka kwa wingi chini ya utawala wa kweli wa rais mstaafu Mzee Emillio Mwai Wa Kibaki. Nashangaa hii 2018 ndio Bongo mnapata flyover yenu ya kwanza.
Hahahahahaha, hata BRT pia ipo kama ambavyo interchange pia zipo, hahahaha poor Kenyans, keep on dreaming.
 
Interchange kwani ni nini kulingana na wewe? Hebu tueleze. Cc pingli-nywee Pingli-nywee wacha atufunze pengine hatujui.
Nyie mliosema zipo Kenya, please tuelezeni hizo interchange mlizonazo ni zipi?. Kwasababu juzi mlichora barabara mkaziita BRT, kwa kutumia lugha ya kawaida hata hizo barabara mlizochora zinaweza kuwa kweli ni BRT, ila kwa vigezo vya dunia, bado haziwezi kuwa BRT kwa kuzingatia viwango vya miundombinu.
 
Back
Top Bottom