China Threatens to Cut SGR funding If Kenya Bans Imported Chinese Fish

China Threatens to Cut SGR funding If Kenya Bans Imported Chinese Fish

Nyie mliosema zipo Kenya, please tuelezeni hizo interchange mlizonazo ni zipi?. Kwasababu juzi mlichora barabara mkaziita BRT, kwa kutumia lugha ya kawaida hata hizo barabara mlizochora zinaweza kuwa kweli ni BRT, ila kwa vigezo vya dunia, bado haziwezi kuwa BRT kwa kuzingatia viwango vya miundombinu.
You are just irrational boy.
Hata kisumu imeipiku dar kwa flyovers.
Kila kitu si kupinga kila wakati.
Tena naona umeulizwa maana ya interchange. Wajibu kistaarabu acha kubwabwaja
 
Usijisumbue, acha apambane mwenyewe na kamusi ya kiingereza. Huyo kawaida yake ni jamaa wa kuhamisha goal post, ukisema hili anaibuka na lingine. Mwishowe utajipata umeambukizwa ujinga.
Acha kutapatapa, tunazingimzia infrastructure hapa sio language. Wote tunaweza kuwa masikini lakini kiwango cha umasikini kinatofautiana sana, lakini lugha ni moja tu, MASIKINI haitenganishi.

Interchange tunayojenga inagharimu $100M, ila tunazo barabara ambazo zinapisha na kuruhusu MAGARI kuweza kubadili directions bila kuingiliana(Interchange). Kwa kigezo cha lugha, zote hizo ni interchange, ila kwa kigezo cha viwango vya infrastructure ambacho ndicho kinachotumika kuita interchange, hizi ni flyover/high way bypass/ crossing over.....
 
Acha kutapatapa, tunazingimzia infrastructure hapa sio language. Wote tunaweza kuwa masikini lakini kiwango cha umasikini kinatofautiana sana, lakini lugha ni moja tu, MASIKINI haitenganishi.

Interchange tunayojenga inagharimu $100M, ila tunazo barabara ambazo zinapisha na kuruhusu MAGARI kuweza kubadili directions bila kuingiliana(Interchange). Kwa kigezo cha lugha, zote hizo ni interchange, ila kwa kigezo cha viwango vya infrastructure ambacho
Sawa basi Kenya hamna interchange wala flyover.
 
Hadi samaki wanatoka china ..... wakati pale ziwa victoria mwanza kila siku wanapakiwa vizuri na kupelekwa nje...


Halafu ufipa watasapoti kuunga mkono juhudi za wachina 😀 😀 😀 😀 😀
 
Huu ndo ukoloni mpya sasa yaani waKenya wanamito na maziwa yote hayo ila wanakuwa blackmailed kula takataka toka China , WTF ! Nina mashaka na makubaliano amabayo viongozi wetu wanaingia na hawa macho madogo
 
Kenya mpo na flyovers tena nyingi, ila hamna BRT wala interchange. Tanzania tuna flyover moja na BRT, sasa hivi tunajenga interchange ya kwanza
south2.jpg
south1.jpg
south7.jpg
south6.jpg
Hizo zote hapo zipo kwenye barabara moja tu, Nairobi Southern Bypass. Nadhani barabara yenyewe ipo Malakal, South Sudan. 😎 Nikianza kusample za Thika Superhighway au barabara mpya ya Outering Road n.k. n.k, yaani barabara za Nairobi pekee yake tu, siutatokwa na povu la ajabu mithili ya El nino?
 
Nyie kuleni samaki hao muweze kuwa mashoga zaidi.
Kenya imeathiriwa sana sana kwa ushoga.
Bado mnataka fish wa plastic
 
Back
Top Bottom