Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
You are just irrational boy.Nyie mliosema zipo Kenya, please tuelezeni hizo interchange mlizonazo ni zipi?. Kwasababu juzi mlichora barabara mkaziita BRT, kwa kutumia lugha ya kawaida hata hizo barabara mlizochora zinaweza kuwa kweli ni BRT, ila kwa vigezo vya dunia, bado haziwezi kuwa BRT kwa kuzingatia viwango vya miundombinu.
Hata kisumu imeipiku dar kwa flyovers.
Kila kitu si kupinga kila wakati.
Tena naona umeulizwa maana ya interchange. Wajibu kistaarabu acha kubwabwaja