Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
- Thread starter
-
- #41
Chinese fish is coming to kenya Daily as usual. But the point is, which other east african country imports fish? ShockingJust when you're about to cum ....badnews[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo propaganda ya ccm imegonga maweView attachment 918014
Look at this idiot. Tanzania import more fish than the other east African countries.a Tanzanian was even bragging about itChinese fish is coming to kenya Daily as usual. But the point is, which other east african country imports fish? Shocking
Nakubaliana na wewe, umenipa uhakika kuhusu mapishi utakayo kua unanipikia [emoji41]. Ila fuatilia nilicho kwambia hapo juuFrankly speaking, I don't like their goods.Uhuru kafanya vizuri Kuban hizo samaki .these idiotic chinese can't be trusted. Vitu vyao vingi ni feki.I heard they even produce carcinogenic goods which they export for human consumption. Wakae na visamaki vyao huko
Yan hapo kitu kimebadilishwa rangi tu [emoji2][emoji2]
Niliskia wanaume wa dar ni wapishi hodari so I hope you'll be giving me a helping ✋ 😂Nakubaliana na wewe, umenipa uhakika kuhusu mapishi utakayo kua unanipikia [emoji41]. Ila fuatilia nilicho kwambia hapo juu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahaha! [emoji1] Very funny. Flyover, interchanges zote zipo na ziliongezeka kwa wingi chini ya utawala wa kweli wa rais mstaafu Mzee Emillio Mwai Wa Kibaki. Nashangaa hii 2018 ndio Bongo mnapata flyover yenu ya kwanza.Hahahaha, unajua maana ya interchange?,hamtokaa mjenge interchange, kama ambavyo hamtokaa mjenge BRT, mtaendelea kuzipa majina barabara za kawaida kwamba ni BRT, na Flyovers kwamba ni interchange.
Mimi ni kama wale wa Gatundu jirani na village yenu, najua kupika maji ya kunywa tu [emoji2]Niliskia wanaume wa dar ni wapishi hodari so I hope you'll be giving me a helping [emoji113] [emoji23]
😂nitakuonyesha jinsi ya kupika chipsi. Nyie wanaume wa dar mnazipenda sana. Chipoo na chicken 😂Mimi ni kama wale wa Gatundu jirani na village yenu, najua kupika maji ya kunywa tu [emoji2]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Interchange kwani ni nini kulingana na wewe? Hebu tueleze. Cc pingli-nywee Pingli-nywee wacha atufunze pengine hatujui.Hahahaha, unajua maana ya interchange?,hamtokaa mjenge interchange, kama ambavyo hamtokaa mjenge BRT, mtaendelea kuzipa majina barabara za kawaida kwamba ni BRT, na Flyovers kwamba ni interchange.
Halafu gatundu ni jirani ya village gani?Mimi ni kama wale wa Gatundu jirani na village yenu, najua kupika maji ya kunywa tu [emoji2]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Usijisumbue, acha apambane mwenyewe na kamusi ya kiingereza. Huyo kawaida yake ni jamaa wa kuhamisha goal post, ukisema hili anaibuka na lingine. Mwishowe utajipata umeambukizwa ujinga.Interchange kwani ni nini kulingana na wewe? Hebu tueleze. Cc pingli-nywee Pingli-nywee wacha atufunze pengine hatujui.
Unamzushia bwanaUsiwe na presha madam. Sina chuki bana huyo ni ndugu yangu, tunaelewana. Alisepa kutoka Bunjumbura baada ya kampeni zake dhidi ya Nkurunzinza kuangukia pua. Muulize atakueleza. [emoji1]
Hahahaaaa... siyo Githeri[emoji23]nitakuonyesha jinsi ya kupika chipsi. Nyie wanaume wa dar mnazipenda sana. Chipoo na chicken [emoji23]
Dah, mammi namtania tu ustadh, ila kama hajachukulia poa. I apologise MOTOCHINI.Unamzushia bwana
huyo nimewahi muona live
Sivile unavyo mdhania labda utani wenu bwana
Wanaume wa dar hawawezi tafuna 'kiteri' wanapenda chakula lainiHahahaaaa... siyo Githeri
Bottas, ina maana kwamba wamekubali tena? Dadavua basi, hii party yao iishe ghafla.Just when you're about to cum ....badnews[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo propaganda ya ccm imegonga maweView attachment 918014
Hahaha! [emoji1] Eti kiteri, niliwapata warombo wakikichangamkia bila wasiwasi wao wanakiita ngararum.Wanaume wa dar hawawezi tafuna 'kiteri' wanapenda chakula laini
😀kumbe?na ukiwapata humu wakiwasimanga wakenya kwa kula githeri na sukuma. Hawa ni wanafiki kupitiliza😂Hahaha! [emoji1] Eti kiteri, niliwapata warombo wakikichangamkia bila wasiwasi wao wanakiita ngararum.
Hahahahahaha, hata BRT pia ipo kama ambavyo interchange pia zipo, hahahaha poor Kenyans, keep on dreaming.Hahaha! [emoji1] Very funny. Flyover, interchanges zote zipo na ziliongezeka kwa wingi chini ya utawala wa kweli wa rais mstaafu Mzee Emillio Mwai Wa Kibaki. Nashangaa hii 2018 ndio Bongo mnapata flyover yenu ya kwanza.
Nyie mliosema zipo Kenya, please tuelezeni hizo interchange mlizonazo ni zipi?. Kwasababu juzi mlichora barabara mkaziita BRT, kwa kutumia lugha ya kawaida hata hizo barabara mlizochora zinaweza kuwa kweli ni BRT, ila kwa vigezo vya dunia, bado haziwezi kuwa BRT kwa kuzingatia viwango vya miundombinu.Interchange kwani ni nini kulingana na wewe? Hebu tueleze. Cc pingli-nywee Pingli-nywee wacha atufunze pengine hatujui.