China-US (Tech War): China wabaini ndege ya jeshi la Marekani ikiangusha vifaa vya kiupelelezi katika bahari ya Kusini ya China

Minimum wage ni kiasi gani China?
Upande wa China mji ambao kwao maisha ni magumu sana na wanailinganisha na Paris ni Shanghai,hadi mwaka jana minimum wage ni TZS 900,000. Lakini kupata apartment ya kununua siyo chini ya 200milioni.
Hii imesababisha jamaa wanafanya kazi kwa nguvu sana japo wanaotoboa ni wachache sana kupata pa kuishi. Usishangae waChina kukimbilia Ulaya au mabinti wa KiChina kutafuta wachumba wazungu kutoka Ulaya.
Wao wanaamini ukibahatika kwenda Ulaya tayari umetoboa kimaisha.
 
Upande wa China mji ambao kwao maisha ni magumu sana na wanailinganisha na Paris ni Shanghai,hadi mwaka jana minimum wage ni TZS 900,000. Lakini kupata apartment ya kununua siyo chini ya 200milioni.
Hiyo ni kima cha chini bado kuna Median wage inafika hadi TZS 5M

Upande wa apartment Shanghai ziko za bei ya chini ya hapo kwa average local rent hadi TZS 2M
 
Usishangae waChina kukimbilia Ulaya au mabinti wa KiChina kutafuta wachumba wazungu kutoka Ulaya.
Wao wanaamini ukibahatika kwenda Ulaya tayari umetoboa kimaisha.
Unajua kuwa Wachina wana Purchasing Power Parity (PPP) kubwa kuliko hata USA

Kati ya Ulaya, Marekani na China ni wapi pana high cost of living?

Unaweza kusema Mchina analipwa mshahara mdogo ukilinganisha na Marekani au Ulaya lakini Mchina huyohuyo anapata mahitaji yaleyale sawa na anayelipwa mshahara standard pale Marekani au Ulaya
 
Mkuu muulize Mchina atakwambia haya ninayokuambia.
Kupata kazi Uchina inayolipa vizuri siyo rahisi ukilinganisha na USA.
Mtu akitoka USA ni rahisi kupata kazi Uchina kwenye taaluma kuliko mchina kupata kazi USA.
 
Ni sekta ipi au taaluma ipi ambayo mtu kutoka Marekani ni rahisi kupata kazi China?
 
Ali
Ndio mkuu, na bora kipindi kile China aliamua kukaa kimya ktk ile ziara ya Peros, huenda angejibu mpaka sasa angekuwa kwenye wakati mgumu sana.

Linapokuja suala la vita US ni mtu mwingine, ana uzoefu mkubwa wa haya mambo.
Alipigana na nani??? Marekan
 
Ndio mkuu, na bora kipindi kile China aliamua kukaa kimya ktk ile ziara ya Peros, huenda angejibu mpaka sasa angekuwa kwenye wakati mgumu sana.

Linapokuja suala la vita US ni mtu mwingine, ana uzoefu mkubwa wa haya mambo.
Ana uzoefu ila China ni mfupa mgumu.
Wamewahi kukutana katika proxy war na USA akashindwa.
Tatizo vita hugharimu,sio kwamba China hana uwezo wa kupambana na USA laa hasha,ila anahofia kupungua kwa kasi yake ya uchumi.
Na hicho ndicho USA analenga.
 
Mchina yuko busy kujenga uchumi wake

Vita zinamgharimu sana Marekani hata miundombinu imekuwa changamoto kuiboresha

Imagine deni la nje la Marekani limefikia $34 trillion limekuwa kubwa kuliko hata GDP ya Marekani ambayo ni $25 trillion

20240617_002531.jpg
 
Ndio mkuu, na bora kipindi kile China aliamua kukaa kimya ktk ile ziara ya Peros, huenda angejibu mpaka sasa angekuwa kwenye wakati mgumu sana.

Linapokuja suala la vita US ni mtu mwingine, ana uzoefu mkubwa wa haya mambo.
Ana uzoefu upi hasa na alipigana na nchi gani marekani kama marekani akashinda? Kama sio ni mchochezi tu wa vita watu wauwane yeye auze silaha, marekani ni taifa la kijangili tu
 
Back
Top Bottom