Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #21
Warmonger
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na china akiingia huo mtego tu uchumi wake utaporomoka sanaTatizo tamaa ya Marekani ni China iingie vitani ni kama anaichokoza makusudi
Upande wa China mji ambao kwao maisha ni magumu sana na wanailinganisha na Paris ni Shanghai,hadi mwaka jana minimum wage ni TZS 900,000. Lakini kupata apartment ya kununua siyo chini ya 200milioni.Minimum wage ni kiasi gani China?
Upande wa China mji ambao kwao maisha ni magumu sana na wanailinganisha na Paris ni Shanghai,hadi mwaka jana minimum wage ni TZS 900,000. Lakini kupata apartment ya kununua siyo chini ya 200milioni.
Usishangae waChina kukimbilia Ulaya au mabinti wa KiChina kutafuta wachumba wazungu kutoka Ulaya.
Wao wanaamini ukibahatika kwenda Ulaya tayari umetoboa kimaisha.
MmarekaniNani huyo?
Mkuu muulize Mchina atakwambia haya ninayokuambia.Unajua kuwa Wachina wana Purchasing Power Parity (PPP) kubwa kuliko hata USA
Kati ya Ulaya, Marekani na China ni wapi pana high cost of living?
Unaweza kusema Mchina analipwa mshahara mdogo ukilinganisha na Marekani au Ulaya lakini Mchina huyohuyo anapata mahitaji yaleyale sawa na anayelipwa mshahara standard pale Marekani au Ulaya
Mkuu muulize Mchina atakwambia haya ninayokuambia.
Kupata kazi Uchina inayolipa vizuri siyo rahisi ukilinganisha na USA.
Mtu akitoka USA ni rahisi kupata kazi Uchina kwenye taaluma kuliko mchina kupata kazi USA.
Mtu akitoka USA ni rahisi kupata kazi Uchina kwenye taaluma kuliko mchina kupata kazi USA
Alipigana na nani??? MarekanNdio mkuu, na bora kipindi kile China aliamua kukaa kimya ktk ile ziara ya Peros, huenda angejibu mpaka sasa angekuwa kwenye wakati mgumu sana.
Linapokuja suala la vita US ni mtu mwingine, ana uzoefu mkubwa wa haya mambo.
Kabisa aiseeMungu saidia China asiingie mapigano na Taifa lolote lile kwa sasa. Sisi dunia ya tatu tutateseka mno.
Ana uzoefu ila China ni mfupa mgumu.Ndio mkuu, na bora kipindi kile China aliamua kukaa kimya ktk ile ziara ya Peros, huenda angejibu mpaka sasa angekuwa kwenye wakati mgumu sana.
Linapokuja suala la vita US ni mtu mwingine, ana uzoefu mkubwa wa haya mambo.
Tatizo vita hugharimu,sio kwamba China hana uwezo wa kupambana na USA laa hasha,ila anahofia kupungua kwa kasi yake ya uchumi.
Na hicho ndicho USA analenga.
China itakuwa one of the greatest soon. Maana Wana tech nzuri Sana.
Elimu ya china imewabadilisha sana
Ana uzoefu upi hasa na alipigana na nchi gani marekani kama marekani akashinda? Kama sio ni mchochezi tu wa vita watu wauwane yeye auze silaha, marekani ni taifa la kijangili tuNdio mkuu, na bora kipindi kile China aliamua kukaa kimya ktk ile ziara ya Peros, huenda angejibu mpaka sasa angekuwa kwenye wakati mgumu sana.
Linapokuja suala la vita US ni mtu mwingine, ana uzoefu mkubwa wa haya mambo.