Kama hata hili hujui bro basi unaishi dunia yako kaka. Iko hivi, China kateka masoko ya almost dunia nzima si kwasababu anatengeneza kila kitu, is because products zake bei zake ni rahisi. Sijui una miaka mingapi, wazee waliopo humu watakubaliana na mimi, miaka ya nyuma pikipiki zilizo kua mtaani zilikuaga ni Honda, Suzuki; mabasi na malori yaliokua yanazunguka everywhere yalikua ni Scania, Benz, Layland, Bedford nk; leo ni Yuotong, Howo nk from China; why? Bei plus operational costs, so wafanya biashara wame opt kwenda kwenye Chinese products instead of European products; kwa nchi masikini kama zetu, hiyo ni sherehe cause we don't produce those things, unadhani Sweden wenye Scania zao wanafurahia? No, nini wafanye ili Youtong na ma Howo yasiteke soko la kule? Pandisha KODI ya Chinese products and may be weka ruzuku kwa viwanda vya ndani. That's my point