Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Tanzania tumepelwka MV Magogoni Mombasanikakarabatiwe, aibu GANI hii?Ship building ni moja ya sekta muhimu sana kwa uchumi wa nchi na usalama wa taifa.
Wakati Marekani kwa wastani inazalisha meli 5 kwa mwaka China inazalisha meli 5 kwa siku!
Kwa sasa China inazalisha meli mara 340 hivi zaidi ya Marekani
Shipyards za China kwa ujumla zinazalisha zaidi ya 23 millions tons, wakati za Marekani zinalizalisha chini ya 100,000 tons
95% ya shipping container unazoziona baharini ni China made
Katika soko la dunia China inashikilia nafasi ya kwanza kwa zaidi ya 50% katika global ship building huku Marekani ikiwa nafasi ya 19 kwa 0.1%
Mwaka 2024, China ilikuwa na oda za meli 1,794 kubwa za kibiashara, Korea Kusini ilikuwa na 734, Japan ilikuwa na 587 uliza Marekani ilikuwa na ngapi? Ilikuwa na 5 tu!
Mwaka 2024 China ilikuwa na zaidi ya meli 5,000 za kibiashara baharini, wakati U.S flagged merchant fleet zilikuwa 177 pekee.
Mwaka 2024 shipyard moja tu ya China iliunda meli nyingi za kibiashara kwa tani kuliko shipyards zote zilizo Marekani zikiunganishwa.
View attachment 3268498
Kwa sasa China ina uwezo mkubwa zaidi wa kutengeneza meli kuliko taifa lolote duniani, hata kuliko nchi 5 zilizo chini yake zikiunganishwa.
Makampuni ya kutengeneza meli, ikiwa ni pamoja na makampuni yaliyo katika nchi nyingi washirika wa Marekani kama Denmark, Ufaransa, Greece, Japan, Singapore na South Korea hununua 75% ya critical components za kutengeneza meli kutoka China.
Katika shipyards zilizo China serikali ya China imefanya kitu kinachoitwa Military-Civil Fusion (MCF) strategy.
Yaani imeunganisha uzalishaji wa kibiashara na kijeshi katika shipyards na kuipa PLA Navy (China Navy) miundombinu ya kutengeneza meli vita. Hii imefanya PLA Navy kuwa ya kisasa na kupunguza gharama.
Baada ya mambo kuwa magumu kwa Marekani imeanza kujaribu kuingia ubia na South Korea na Japan ili wapate tech transfer kunyanyua US ship building industry.
Kwa mfano Hanwa Ocean kampuni ya South Korea imenunua shipyard katika jimbo la Philadelphia kwa USD 100 mln. Na imeingia mkataba na U.S Navy kutumia hiyo shipyard kwa ajili ya maintenance and repair ya meli vita zilizozeeka za Marekani.
Hata iwe kwa msaada kutoka kwa makampuni ya Asia kama S.K na Japan inaweza kuchukua miaka mingi sana Marekani ili kuziba pengo na China katika ship building industry.
Inashangaza kuwa Trump anapendekeza kupanua ship building industry ya Marekani eti ishindane na China huku ameongeza tariffs kwa chuma na aluminium inayotumika kutengeneza meli hizo.
Ili kutimiza ndoto yake, labda aifanye South Korea na Japan kuwa majimbo ya 52 na 53 ya Marekani.
China has become global powerhouse in ship building industry.
Rising dragon fading Eagle.
Usisahau ubora, wachina wame-base kwenye quantityUS haiwezi shindana na China kwenye manufacturing ya chochote kile.
Inaishinda China kwa standard of living, better life, democracy
Usisahau ubora, wachina wame-base kwenye quantity
Dah mpka hapa nimesuzika roho yangu kweli jf ni kisima mtoa mada umeitendea haki umekuja na data sio blah blah na wachangiaji wanamwaga nondo ahsanteni jamani naomba kama hujui kitu usilete habari zako za kuota umeshiba pita soma chukua maarufaUS haiwezi shindana na China kwenye manufacturing ya chochote kile.
Inaishinda China kwa standard of living, better life, democracy
Kina ww ndio tuliosema kama hujui kitu usilete habari za kwenye kitchen party mnaboa huna data unapayuka Ukraine hzo meli na former USSR Ukraine hajawahipo tengeneza meli wakt wa mungano viwanda viliwekezwa Ukraine sasa ww mtu yupo space huko anashindwaje kujenga machma hata song or Marine pale kigamboni anaweza usilete mada zankusutana tunataka data/ reliable sources wala hatulinganishi eti Trump mtu ana mwez madarakani against China isiyotawaliwa na mkoloniPamoja na kuwasifia kote huko............walinunua meli kubwa kutoka ukrain kwa kudanganya kuwa wanataka kuifanya hotel ya baharini kumbe lengo kuifanya iwe meli kubwa ya kijeshi kama zile za marekani ..... si wanateknolojia wale mbona kutengeneza meli kubwa za kupaki ndege wamenunua kwa ukrein?? Hapa jibu ni moja wanateknolijia lakini ya kujenga mitumbwi na viboti sio kama yale ma uss Abraham au ile midude ya nyuklia inayo kaa baharini mpaka mwaka au miaka bila kuongeza mafuta. ...baada ya kununua ile meli ya Ukraine kwa udanganyifu kupitia mfanyabiara wa hotel ndio na wao china wakawa na meli ya kivita ya kwanza duniani maana walikuwa wanamiliki mitumbwi na maboti ya kuvulia samaki....... wakati marekani hiyo teknolojia ipo kwa zaidi ya miaka 100 nyuma........bro wewe endelea na wachina mimi niko calfornia ambayo uchumi wake unaweza kuunganisha Hong Kong na Beijing kwa mara moja ndio waifikie hata baada ya kuungua sehemu........marekani kwa teknolojia ni baba wa dunia maana mpaka leo china hana hata ndege za kibishara ambazo anatengenezea watu .......ila western wanauza global miaka nenda rudi hawana mshindani ........labda urusi kidogo ila wanasema za urusi ni kama gari basi Fiat au Isuzu maana haziko comfortable.....viva us viva mwa tirump
Wambie hao vibwengo wao wakinunua kiatu made in China vikakatika a week wanaona China iko hvo China yupo moro quality kuliko yyte halafu anasaidiwa na affordable priceUnajua kuwa meli hununui kama gari? Huwa shipping companies wanaweka order kwa manufacturers.
Unataka kusema hizi shipping companies hapa zenye utajiri wa billions of dollars wana risk biashara zao kwa kuorder low quality ships kutoka China? Hakuna kampuni hapo inakosa China made ships kwenye fleet yake
●MAERSK (Denmark)
●MSC (Swirtzeland)
●CMA CGM (France)
●COSCO (China)
●HAPAG-LLOYD (Germany)
●ONE (Japan)
●EVERGREEN (Taiwan)
Shipyards za China zinapata order nyingi kwa sababu ya quality, kuwa on time kukamilisha kuunda meli. Hakuna kampuni zinazofikia China kwa kuunda faster meli duniani ndio maana shipping companies wanapenda kwenda China
Pia application of cutting edge tech na easonable price
Ila llinapokuja suala la durability na reliability mchina yuko chini sanaShip building ni moja ya sekta muhimu sana kwa uchumi wa nchi na usalama wa taifa.
Wakati Marekani kwa wastani inazalisha meli 5 kwa mwaka China inazalisha meli 5 kwa siku!
Kwa sasa China inazalisha meli mara 340 hivi zaidi ya Marekani
Shipyards za China kwa ujumla zinazalisha zaidi ya 23 millions tons, wakati za Marekani zinalizalisha chini ya 100,000 tons
95% ya shipping container unazoziona baharini ni China made
Katika soko la dunia China inashikilia nafasi ya kwanza kwa zaidi ya 50% katika global ship building huku Marekani ikiwa nafasi ya 19 kwa 0.1%
Mwaka 2024, China ilikuwa na oda za meli 1,794 kubwa za kibiashara, Korea Kusini ilikuwa na 734, Japan ilikuwa na 587 uliza Marekani ilikuwa na ngapi? Ilikuwa na 5 tu!
Mwaka 2024 China ilikuwa na zaidi ya meli 5,000 za kibiashara baharini, wakati U.S flagged merchant fleet zilikuwa 177 pekee.
Mwaka 2024 shipyard moja tu ya China iliunda meli nyingi za kibiashara kwa tani kuliko shipyards zote zilizo Marekani zikiunganishwa.
View attachment 3268498
Kwa sasa China ina uwezo mkubwa zaidi wa kutengeneza meli kuliko taifa lolote duniani, hata kuliko nchi 5 zilizo chini yake zikiunganishwa.
Makampuni ya kutengeneza meli, ikiwa ni pamoja na makampuni yaliyo katika nchi nyingi washirika wa Marekani kama Denmark, Ufaransa, Greece, Japan, Singapore na South Korea hununua 75% ya critical components za kutengeneza meli kutoka China.
Katika shipyards zilizo China serikali ya China imefanya kitu kinachoitwa Military-Civil Fusion (MCF) strategy.
Yaani imeunganisha uzalishaji wa kibiashara na kijeshi katika shipyards na kuipa PLA Navy (China Navy) miundombinu ya kutengeneza meli vita. Hii imefanya PLA Navy kuwa ya kisasa na kupunguza gharama.
Baada ya mambo kuwa magumu kwa Marekani imeanza kujaribu kuingia ubia na South Korea na Japan ili wapate tech transfer kunyanyua US ship building industry.
Kwa mfano Hanwa Ocean kampuni ya South Korea imenunua shipyard katika jimbo la Philadelphia kwa USD 100 mln. Na imeingia mkataba na U.S Navy kutumia hiyo shipyard kwa ajili ya maintenance and repair ya meli vita zilizozeeka za Marekani.
Hata iwe kwa msaada kutoka kwa makampuni ya Asia kama S.K na Japan inaweza kuchukua miaka mingi sana Marekani ili kuziba pengo na China katika ship building industry.
Inashangaza kuwa Trump anapendekeza kupanua ship building industry ya Marekani eti ishindane na China huku ameongeza tariffs kwa chuma na aluminium inayotumika kutengeneza meli hizo.
Ili kutimiza ndoto yake, labda aifanye South Korea na Japan kuwa majimbo ya 52 na 53 ya Marekani.
China has become global powerhouse in ship building industry.
Rising dragon fading Eagle.
Pamoja na kuwasifia kote huko............walinunua meli kubwa kutoka ukrain kwa kudanganya kuwa wanataka kuifanya hotel ya baharini kumbe lengo kuifanya iwe meli kubwa ya kijeshi kama zile za marekani
Ila llinapokuja suala la durability na reliability mchina yuko chini sana
Ishu ni gharama tu, wafanyakazi China wanalipwa kidogo na kufanya gharama za uzalishaji kuwa chini sana.Macron alienda China mwaka 2023 akaingia mkataba na Dalian shipyard ya China kuitengenezea kampuni ya Ufaransa CMA CGM kutengenezewa meli za LNG zenye thamani ya US$ 4 BLN
Meli za LNG ni mojawapo ya meli zinazotaka manufacturer awe ana sophisticated tech. Unafikiri raisi wa Ufaransa Macron alikurupuka?
Qatar wakaipa kandarasi kampuni hiyohiyo ya China kutengeneza meli kubwa duniani ya kubeba LNG yenye thamani ya $ 5.4 billion
Dont underestimate China kwenye ship building industry.
Wazungu na Warabu hawakurupuki kuweka billions of dollars kwa Chinese ship manufacturers wakati wanajua kuna S.K na Japan
Upatikanaji wa Maligafi inaweza kuwa ndio tatizo la US.
Kwa haya nayo yasikia kuhusu congo na US wataingia mkataba na kuimalisha ulinzi.
China ajiandae kisaikolojia swala la maligafi atapigiwa huko huko ushuru