China vs U.S, utengenezaji wa meli za kibiashara: Kwa mwaka, China inaunda meli zaidi ya 1,700 huku Marekani ikiunda meli 5 tu.

China vs U.S, utengenezaji wa meli za kibiashara: Kwa mwaka, China inaunda meli zaidi ya 1,700 huku Marekani ikiunda meli 5 tu.

Binafsi naona China wapo vizuri kwenye technology na Engineering kuliko taifa lolote hata US. Ukiangalia wao ndo wa kwanza kutengeneza hypersonic bombs, wametengeneza maglev trains ( treni zinazoelea) na pia wametengeneza treni zinazopita katikati ya majengo bila kuisahau Deepseek AI inayoongoza sasa hivi.

Nakubali China wanatengeneza fake items ila kwenye vitu serious kama meli wapo vizuri ndo maana wanapokea order nyingi.
Umenichekesha sana hadi Deep seek😃😃😃
Kabla mzungu hajatengeneza, mchina hana akili ya kutengeneza kitu kipya.
Baada ya AI kuzinduliwa yeye akakopy na kutengeneza Deep seek😃😃😃😃

Kwanini mchina hakuwa wa kwanza kutengeneza AI?

Mwenye akili timamu anijibu. Android OS inatumia application yenye extension ya .apk
Hiyo Harmony ya mchina ambayo haijulikani inatumia application yenye extension gani?

Ushawahi kutumia tv ya Hisense yenye Os ya Vidaa ya mchina na TV ya smart ya Android au Google na una Wifi? Ndiyo utajua Vidaa ni takakata.

Mchina yupo kwenye kucopy na kupaste ndiyo maana bidhaa zake ni Quantity na siyo Quality. Watu wananunua vitu vya kichina kwasababu ni bei ndogo na siyo Quantity. Hakuna muziki wa kichina wowote duniani unaweza kuishinda LG, Sony, JBL na Samsung. Hizi bei zake zimechangamka, zile takataka za kichina hadi 50,000 unapata.

Hisense, TCL na takataka zingine za kichina haziwezi kufika kwa Sony, LG na Samsung. Uliza Hisense nchi 100 na Sony, Lg au Samsung nchi 100. Ndiyo utashangaa. Weka tv ya Samsung na Hisense uone utofauti. Mchina anauza bidhaa zenye low quality na zenye bei. Unaangalia TV ya kichina Aziz Ki anaonekana ni mwaarabu

Howo, sharksman vs Scania, DAF na Benz ndiyo maana club zote duniani kubwa kuanzia Arsenal, Barcelona, PSG n.k huwezi kukuta wanatumia mabasi ya kichina.

Quality ina gharama na kwa umasikini wetu lazima uone mchina anatengeneza bidhaa quality😃😃😃😃 TV ya Samsung nchi 100, ya mchina unanua 2 na chenji unabakiwa nayo😃😃😃
 
Hawa ndo husema israel ni taifa la mungu
Ndiyo hao huamini Quran imeshushwa. Sijui kutoka wapi?😃😃😃😃😃😃😆
Cha ajabu lugha iliyotumika kuandika Quran ni local language hata wenye kiarabu chao hawakitumii kama lugha ya taifa😆😆😆
 
Ship building ni moja ya sekta muhimu sana kwa uchumi wa nchi na usalama wa taifa.
​
  • Wakati Marekani kwa wastani inazalisha meli 5 kwa mwaka China inazalisha meli 5 kwa siku!​
​
  • Kwa sasa China inazalisha meli mara 340 hivi zaidi ya Marekani​
​
  • Shipyards za China kwa ujumla zinazalisha zaidi ya 23 millions tons, wakati za Marekani zinalizalisha chini ya 100,000 tons​
​
  • 95% ya shipping container unazoziona baharini ni Chinese made​
​
  • Katika soko la dunia China inashikilia nafasi ya kwanza kwa zaidi ya 50% katika global ship building huku Marekani ikiwa nafasi ya 19 kwa 0.1%​

​
  • Mwaka 2024, China ilikuwa na oda za meli 1,794 kubwa za kibiashara, Korea Kusini ilikuwa na 734, Japan ilikuwa na 587 uliza Marekani ilikuwa na ngapi? Ilikuwa na 5 tu!​
​
  • Mwaka 2024 China ilikuwa na zaidi ya meli 5,000 za kibiashara baharini, wakati U.S flagged merchant fleet zilikuwa 177 pekee.​
​
  • Mwaka 2024 shipyard moja tu ya China iliunda meli nyingi za kibiashara kwa tani kuliko shipyards zote zilizo Marekani zikiunganishwa tangu WWII.​


View attachment 3268498
Kwa sasa China ina uwezo mkubwa zaidi wa kutengeneza meli kuliko taifa lolote duniani, hata kuliko nchi 5 zilizo chini yake zikiunganishwa.
​
  • Makampuni ya kutengeneza meli, ikiwa ni pamoja na makampuni yaliyo katika nchi nyingi washirika wa Marekani kama Denmark, Ufaransa, Greece, Japan, Singapore na South Korea hununua 75% ya critical components za kutengeneza meli kutoka China.​

Katika shipyards zilizo China serikali ya China imefanya kitu kinachoitwa Military-Civil Fusion (MCF) strategy.​
  • Yaani imeunganisha uzalishaji wa kibiashara na kijeshi katika shipyards na kuipa PLA Navy (China Navy) miundombinu ya kutengeneza meli vita. Hii imefanya PLA Navy kuwa ya kisasa na kupunguza gharama.​


Baada ya mambo kuwa magumu kwa Marekani imeanza kujaribu kuingia ubia na South Korea na Japan ili wapate tech transfer kunyanyua US ship building industry.​
  • Kwa mfano Hanwa Ocean kampuni ya South Korea imenunua shipyard katika jimbo la Philadelphia kwa USD 100 mln. Na imeingia mkataba na U.S Navy kutumia hiyo shipyard kwa ajili ya maintenance and repair ya meli vita zilizozeeka za Marekani.

    Hata iwe kwa msaada kutoka kwa makampuni ya Asia kama S.K na Japan inaweza kuchukua miaka mingi sana Marekani ili kuziba pengo na China katika ship building industry.​

Inashangaza kuwa Trump anapendekeza kupanua ship building industry ya Marekani eti ishindane na China huku ameongeza tariffs kwa imported steel na aluminium zinazotumika kutengeneza meli hizo.

Ili kutimiza ndoto yake, labda aifanye South Korea na Japan kuwa majimbo ya 52 na 53 ya Marekani.

China has become global powerhouse in ship building industry.

Rising Dragon fading Eagle.
​
Unavyowapenda wachina wewe aisee ungekuwa WA kike sasa hivi tunaongea mengine😂
 
Back
Top Bottom