China vs U.S, utengenezaji wa meli za kibiashara: Kwa mwaka, China inaunda meli zaidi ya 1,700 huku Marekani ikiunda meli 5 tu.

China vs U.S, utengenezaji wa meli za kibiashara: Kwa mwaka, China inaunda meli zaidi ya 1,700 huku Marekani ikiunda meli 5 tu.

KITU PEKEE KINACHO IFANYA MAREKANI KUWA JUU KIUCHUMI NI DOLLA YAKE KUFANYWA PESA YA DUNIA ...NDIYO MAANA BRICS WANACHEZA NA HIYO KARATASI NI PIGO TAKATIFU KWA MAREKANI..KAMA SIYO HIYO KARATASI BASI MAREKANI INGEKUWA KAMA BRAZIL TU
Na ndo maana na wao wanaipambania kwa jasho na damu ila mashango ni kuendeleza vikwazo kitu ambacho kinaifanya isitumike tena global bila kufikiria mathara hasi huko mbele yatakuwaje
 
..kuna kipindi Wamarekani walifanya maamuzi ambayo yaliumiza viwanda vyao vya magari, meli, nk.

..sasa hivi ndio wamekuja kushtuka lakini sidhani kama wataweza kuvirudisha viwanda hivyo viwe na thamani kama huko zamani.
Ni swala la muda tu hata boing itakufa tu achilia mbali hivyo viwanda
 
Na ndo maana na wao wanaipambania kwa jasho na damu ila mashango ni kuendeleza vikwazo kitu ambacho kinaifanya isitumike tena global bila kufikiria mathara hasi huko mbele yatakuwaje
Hayo ni matokeo ya wanasiasa uchwara kushika nchi ....wanafanya mambo ya kuji shoot wenyewe ....nguzo ya taifa la marekani KUU KULIKO KITU CHOCHOTE NI HIYO DOLA KUWA PESA YA DUNIA. vinginevyo 🇺🇸 America is nothing
 
World’s largest cargo ship from China, just delivered to the customer CMA CGM.

🔹400m long
🔹Carries 24,000 containers
🔹Powered by LNG (dual fuel)
🔹Travels 37,000km without refueling!

Industrial might of Chinese economy.
 
Wengi msiojua kuwa China iliwekeza kwenye AI tangu miaka kadhaa nyuma mmeanza kuijua China kupitia DeepSeek

Ukweli ni kwamba China wako kwenye game la AI kitambo sana kampuni kama vile Alibaba, Tencent na nyinginezo zimekuwa zikifanya vizuri.

Ni vile tu DeepSeek imekuwa game changer kwa kuzikalisha kwa mbali AI za West ndio maana imekuwa well known internationally

Kwenye patents na researches za AI China hana mpinzani. Ujio wa DeepSeek ni matunda ya R&D na innovation kwenye Chinese AI industry

​
View attachment 3269116

View attachment 3269118
Nachokupenda unaongea kwa takwimu
 
Wakishaajiriwa na usa kwenye mataasis makubwa hujiona tiari na wao ni wamaerkan
 
Mimi wabongo linapokuja swala la usa na israel wala usipoteze muda wako kubishana nao wanaamin kule ni pepon na wanoishi sio watu wa kawaids
Kuna ujinga mwingi sana kwenye akili za Wabongo inapohusu Israel na Marekani​
 
Back
Top Bottom