China vs U.S, utengenezaji wa meli za kibiashara: Kwa mwaka, China inaunda meli zaidi ya 1,700 huku Marekani ikiunda meli 5 tu.

Nimeandika technology ya Mjerumani ,wewe unaleta porojo. Hiyo Msglev ni technology ys Mchina!?
Sawa nakubali ni teknolojia iliyobuniwa na mjerumani ila hadi Wachina wanayo na ni za high standards kuliko ya mjerumani.

Na China nayeye amebuni teknolojia zake kama High speed Rail, seismogtaph, quantum satellite na China ndo wa kwanza kutumia 5G.
 
Binafsi naona China wapo vizuri kwenye technology na Engineering kuliko taifa lolote hata US. Ukiangalia wao ndo wa kwanza kutengeneza hypersonic bombs, wametengeneza maglev trains ( treni zinazoelea) na pia wametengeneza treni zinazopita katikati ya majengo bila kuisahau Deepseek AI inayoongoza sasa hivi.

Nakubali China wanatengeneza fake items ila kwenye vitu serious kama meli wapo vizuri ndo maana wanapokea order nyingi.
eeeh! Samahani kidogo hapo kwenye fake items, sio fake ni quality ya bongo wafanya biashara ya nguo wanalijua vyema kabisa jambo hili. hata iPhones & almost 700,000 Tesla vehicles zinatengenezwa China.
 
Unazungumzia meli iliyonunuliwa na kufanywa Liaoning carrier.

Hili ni jambo la kawaida katika ship building industry, Naval na marine.

Unashangaa hilo wakati carrier kubwa ya Marekani Gerard R. Ford inategemea zaidi ya semiconductors 6,500 zilizotengenezwa China kufanya kazi.

U.S Navy ni wanunuzi wazuri wa critical components za meli zao kutoka China

Hiyo meli ilitengenezwa lakini haikuwa imekamilika China waliinunua ikapelekwa Dalian Shipyard China, wakaikarabati na kuifanya carrier

Na China wanazo carriers ambazo ni China made kama Shandong (type 002) na Fujian (type 003) ambazo ni kubwa na za kisasa kuliko Liaoning (type 001)
ndugu yangu maddox kula nondo hizi watu wana full details babu, we umebaki kupumbazwa na Propaganda za US kupitia mainstreams na movie za akina Rambo.
 
eeeh! Samahani kidogo hapo kwenye fake items, sio fake ni quality ya bongo wafanya biashara ya nguo wanalijua vyema kabisa jambo hili. hata iPhones & almost 700,000 Tesla vehicles zinatengenezwa China.
Sawa
 
Vitu vyenye quality ndogo wanawaleteeni nyinyi huku sababu ni masikini hamna uwezo wa kununua bidhaa zenye quality kubwa mkuu
Bahati nzuri hata mtumba unaotokea china unatufikia huku na quality tunaiona ni yaleyale tu.
 
ndugu yangu maddox kula nondo hizi watu wana full details babu, we umebaki kupumbazwa na Propaganda za US kupitia mainstreams na movie za akina Rambo.
Shekhe wangu hakuna kitu kama hicho...........mzungu alianzia mbali sio kama hawa wachina wameibuka miaka 70 nyuma.........maana ukiitoa miaka 70 kwenye maendeleo ya China unakuta ni Mao ndio alikuwa mtawala na wakati ule mambo yalikuwa ni jembe la mkono wakati huko kwa wazungu 🚜 tractor lilikuwepo shambani watu wanalima kama kawa........... Leo hii ndio aje kumpita mzungu ........hacheni mahaba ya kibwabwa..........tena kwenye hiyo miaka ya nyuma unaambiwa tanganyika tulikuwa nao uchumi sawa ............sasa huku nyerere mwenyewe alikuwa anachangiwa kwenda UNO ..............hebu angalieni ninyi mnawaonaje wazungu au mnawaona kama matako yenu
 
Unaelewa maana ya innovation?
 
Unachekesha unayo andika
 
US haiwezi shindana na China kwenye manufacturing ya chochote kile.
Inaishinda China kwa standard of living, better life, democracy
Nipe kampuni ya chiha inayowezs shindana na
Boeing
 
Back
Top Bottom