China vs USA: Infrastructure, Technology and Development


Katika list ya kampuni 100 kubwa za architecture duniani mwaka 2023
●USA 16
●China 13

Usiichukulie poa China wanaweza construction na architecture as well

Link hiyo hapo

 
Leta facts kuhusu kuwa design wa majengo yote ya China ni USA. Mbona unajiondoa ufahamu mdogo wangu? Si ndio wewe umesema majengo yote ya China designer wao ni USA. Mbona hakuna proof yoyote?
 
Kama majengo umeshindwa kutuonesha. Tuoneshe basi japo High Speed Railway kutoka USA
Hizi hapa data za 2020

 
Leta facts kuhusu kuwa design wa majengo yote ya China ni USA. Mbona unajiondoa ufahamu mdogo wangu? Si ndio wewe umesema majengo yote ya China designer wao ni USA. Mbona hakuna proof yoyote?
Huyo anashindwa kuelewa kuwa China iko katika boom ya ujenzi wa majengo marefu mengi.

Uwepo wa kampuni kutoka nje ni sawa kwa sababu kazi ni nyingi.

Baadhi ya project developers imewabidi kuzitumia za nje. Lakini kwenye ujenzi ni kampuni za ndani tu
 
Kwani kinacho zungumziwa hapa ni yupi mbunifu wa majengo kati ya hizo nchi mbili au ipi nchi imemzidi mwenzie kwenye miundombinu ?
Anataka watu waje waseme maendeleo ya marekani na Europe ni jasho la blacks wa miaka hiyo na mpaka Sasa hivi Bado Kuna unyonyaji. Ref:Niger vs France plpppp

Watu Sasa hivi wanaangalua maokoto
 
Kufanya nini mzee. Kama wewe unapenda madawa ya kulevya unaenda USA but if you are business person unaenda China

Kiwanja kuna China towns kibao ila hamna US town China, unadhani kwanini wachina wanajaza kiwanja?
 
Tatizo watu wanaichukulia china kama Burundi vile. Wanawaona wachina kana kwamba kichwani hazimo.
Europe na marekani wameungana kupigana na china. ASML ya Uholonzi wameungana na USA kuwabania machine za kutengeneza semiconductors.

Kilicho washangaza SMIC wamekuja na 7nm chip. Na Huawei kawapiga bao la uso sasa hivi wanahaa


 
Kiwanja kuna China towns kibao ila hamna US town China, unadhani kwanini wachina wanajaza kiwanja?
Hueleweki ulichoandika. Je, kiswahili unakijua vizuri? Umewahi kwenda China mji gani mzee
 
HUAWEI Mate 60 imewachanganya sana nchi za Magharibi hasa Marekani aliyejifanya kumbania chip
 
Hueleweki ulichoandika. Je, kiswahili unakijua vizuri? Umewahi kwenda China mji gani mzee

Usijifanye huelewi, kwanini wachina wanajazana US hadi kuwa na vimiji vyao ndani ya US, Chinatowns, wakati hamna mtu toka US anaenda kuishi China? Kwanini wachina wenyewe wanakimbilia makao makuu ya dunia, USA?

 
wakati hamna mtu toka US anaenda kuishi China?
Duuh! Mwafrika mwenzangu mbona unachekesha jukwaa

Americans in China (Chinese: 在華美國人; Pinyin: zài huá měiguó rén) are expatriates and immigrants from the United States as well as their locally born descendants. Estimates range from 72,000 (excluding Hong Kong and Macau) to 110,000.
 
Mzee wewe bado mgeni sana kwenye Internet.
Kwanza Wikipedia siyo reliable source maana kila mtu anaweza kuandika apendacho.
Pili China wapo duniani kote hata hapa Tanzania kuna China Plaza hapo Kariakoo. Kuna Restaurant kibao za wachina. Huenda mwenzangu huja tembea. Yaani watu kuweza kuwa na Miji yao kwenye nchi zenu maana yake wamewatawala.

Hapa Bongo majina mengi ni ya wazungu. Mfano Ziwa Victoria nk.
Hiyo point yako haina mashiko
 
Hivi unaelewa hata concept ya China Town ? Unafikiri China town ipo US pekee ?

Tafuta mtandaoni ujue kwa nini wachina katika nchi yoyote watakayo ishi hutengeneza miji wao wenye mfumo wa maisha na tamaduni zao. Hao ni watu wa tamaduni kwa zaidi ya miaka 5000 iliyo pita hawawezi kuacha kukusanyika pamoja kama jamii katika eneo moja hiyo ni all-over the world sio nyie migrant weusi mnaendekeza ubaguzi wa wenyewe kwa wenyewe mpaka huko abroad .
 

That went over your head. Still missing the point.
 

Sijaongela popote pale kuhusu majina. Nimesema kwanini wachina wakimbia kwao na kujazana in the West? Fananisha na hao 72k.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…