China vs USA: Infrastructure, Technology and Development

Sijaongela popote pale kuhusu majina. Nimesema kwanini wachina wakimbia kwao na kujazana in the West? Fananisha na hao 72k.


View attachment 2770393
Kwa hiyo shida yako ni population ya wachina walio abroad sio tena kuwa US hawapo China ?

Tatizo lako unakula sana propaganda za media za huko kuwa dunia ni US na washirika wake basi jifunze acha kuandika upumbavu humu
 
That went over your head. Still missing the point.
Mzee naona umeanza kuchanganyikiwa sasa.
Umeondoka kwenye Mada umeanza kuhaha tu. Hebu tuambie ni infrastructure ipi hapo USA ipo but china hakuna?
 

Man, you can't be this dumb. Let me rephrase that, If China is so advanced, why do Chinese people leave for the West?
 
Sijaongela popote pale kuhusu majina. Nimesema kwanini wachina wakimbia kwao na kujazana in the West? Fananisha na hao 72k.


View attachment 2770393
Tupatie ratio ya population. Maana wachina wapo 1.3 billion huku USA wapo 331.9 million.

Weka percentage sasa. Maana population ya USA ni 23% tu ya China. Haifikii hata robo.
 
Kwa hiyo shida yako ni population ya wachina walio abroad sio tena kuwa US hawapo China ?

Tatizo lako unakula sana propaganda za media za huko kuwa dunia ni US na washirika wake basi jifunze acha kuandika upumbavu humu

That was never my point, to begin with. Rejea nilipoanza kusema kuna Chinatowns all over US ila sababu y'all lack comprehension skills don't understand. Wachina wanajazana West, kwanini wanakimbia maendeleo kwao?
 
Man, you can't be this dumb. Let me rephrase that, If China is so advanced, why do Chinese people leave for the West?
We dogo ni mjinga sana first China Town ilikuwa manila miaka ya 1500 huko nayo ni west ?

China Town zipo mabara yote ya duniani sio Amerika, sio Afrika , sio Ulaya wala sio Asia.

Kwa sababu ni mjinga unafikiri ni US pekee
 
That was never my point, to begin with. Rejea nilipoanza kusema kuna Chinatowns all over US ila sababu y'all lack comprehension skills don't understand. Wachina wanajazana West, kwanini wanakimbia maendeleo kwao?
Kwenye badniko lako hapa nikijumlisha Wachina wanaoishi USA hawafiki hata milion moja.

Nimejumlisha hapo pote hawafiki hata 1m. Piga hesabu kati ya watu 1.3b watu laki nane waje kwenye nchi yako. Utasema kwao kubaya.

You are not serious.


 
That was never my point, to begin with. Rejea nilipoanza kusema kuna Chinatowns all over US ila sababu y'all lack comprehension skills don't understand. Wachina wanajazana West, kwanini wanakimbia maendeleo kwao?
Kwa hiyo na hao wa US waliopo China wanakimbia maendeleo kwao ? So ulitaka wachina wasiingie US?

Unaakili timamu kweli wewe au umeathirika na madawa ?!.
 
Kampuni niliyoitaja haihusiki na architecture pekeyake bali inahusika pia na kitu kinachoitwa planning and urban design. Ungeperuzi zaidi katika hiyo link ungekiona hiki ninachosema.

Hiki hapa nimekurahisishia:

Kampuni za Kichina kufanya kazi Marekani sio shida yangu hapa, na wala sijawahi kupinga hilo. Nilisema na narudia: Marekani imehusika zaidi kwenye uundwaji wa miundombinu za kisasa za China kuliko ambavyo China imehusika kwenye miundombinu za Marekani.

Projects ninazozungumzia hapa ni major projects za majengo katika miji mbalimbali kama ambavyo mleta uzi amejaribu kulinganisha, ambazo miongoni mwazo zimegharimu zaidi ya half a billion USD.
 
Sijachukulia yeyote poa. Hapa tunalinganisha nchi mbili tu.

Nimeipitia hiyo link uliyoileta hapa na inatosha kabisa kuthibitisha hoja yangu kuwa Marekani ni zaidi ya China katika suala la architecture ambalo ndiyo msingi mkuu katika modern large-scale construction yoyote duniani.

Kuna haja ya kuendelea na mabishano ama tufunge mjadala, mdau?
 
Leta facts kuhusu kuwa design wa majengo yote ya China ni USA. Mbona unajiondoa ufahamu mdogo wangu? Si ndio wewe umesema majengo yote ya China designer wao ni USA. Mbona hakuna proof yoyote?
Hapa hatuzungumzii kila jengo. Tunazungumzia modern major projects za majengo. Nimezungumzia majengo 10 marefu zaidi duniani.

Nimesema, Marekani imehusika katika usanifu wa majengo yote ya China YALIYOPO KATIKA LIST YA MAJENGO 10 MAREFU ZAIDI DUNIANI.

Inabidi nikuandikie kwa herufi kubwa tupu, pengine unashindwa kusoma vizuri ninachoandika!
 
Kama majengo umeshindwa kutuonesha. Tuoneshe basi japo High Speed Railway kutoka USA
Hizi hapa data za 2020

View attachment 2770359
High Speed Railway ndani ya USA ipo lakini kutokana na sababu za kijiografia na kiuchumi (sanjari na demographics), hakuna haja ya kuongeza network kupita kiasi. Kumbuka, hapa tunazungumzia nyanja zinazogusa wananchi moja kwa moja. Au umeshasahau?

Kabla ya kuanzisha mradi mkubwa wowote ule, serikali makini lazima izingatie costs and benefits. Hii issue ya HSR imekwisha jadiliwa katika bunge la Marekani (Congress) mara kadhaa.

Marekani ukizingatia population yake tayari ina large network ya usafiri wa ndege (domestic airline) ambayo inakidhi mahitaji ya wananchi kwa kiasi kikubwa. Kuongeza network ya HSR kupita kiasi kwa kipindi cha sasa ni matumizi mabovu ya rasilimali.

Kuhusu suala la geography na demographics: High Speed Railway inaleta manufaa zaidi ya kiuchumi kama population density ni kubwa na miji yenye wakazi wengi inakaribiana zaidi. Population kubwa ya Wachina iko katika miji ya mashariki zaidi mwa China kijiografia na ndiko ambako network yao ya HSR imejikita zaidi.

Population density ya Marekani ni ndogo kuliko China, isitoshe population imetawanyika zaidi (scattered) katika states mbalimbali tofauti na China, hivyo kupanua zaidi network ya HSR ni changamoto bila benefits kwenye uendeshaji wa mradi. Ni Wamarekani wangapi wenye safari za haraka watapanda treni ya mwendo kasi kutoka Los Angeles mpaka New York waache ndege ambayo ni nafuu na yenye kasi zaidi?

Sijui kama unafahamu kuwa Marekani ndiyo nchi yenye largest road network duniani. Pia Marekani hiyohiyo ni nchi yenye largest railroad network in the world kwa ajili ya usafirishaji wa mizigo (freights), usafiri wa umma n.k. Kuongeza network mpya ya HSR pia kunaleta athari kwa network kubwa ya reli ambayo tayari ipo na inaendesha uchumi.

Naomba nirudie:
Hapa tunazungumzia nyanja zenye manufaa na zinazogusa wananchi moja kwa moja kama ambavyo umesema wewe mwenyewe. Ndio maana hapo awali nilisema, ulinganisho wako wa miundombinu kati ya hizo nchi mbili una makosa mengi ya kisomi.
 
Kumbuka, we are not talking about "baadhi ya project" hapa. Tunazungumzia major urban projects kama skyscrapers.

We are talking about the United States being the architect of various major skyscrapers in today's China. Furthermore, we are talking about the United States being the major architect of the tallest skyscrapers in the World.
 
Mimi nakujibu kwa facts

Designer wa tallest building in china huyu hapa. Ni kampuni ya China

 
Transportation haigusi wananchi. Be serious mzee.

Halafu mnaongelea na nani? Wakati topic ipo wazi tunaonfelea infrastructure mzee. Ni pamoja na railway.

Halafu unaongelea Geographical reason kwamba USA hawana High-speed. Tupe jiografia ipi hiyo inayozuia hight Tech?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…