Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwa hiyo shida yako ni population ya wachina walio abroad sio tena kuwa US hawapo China ?Sijaongela popote pale kuhusu majina. Nimesema kwanini wachina wakimbia kwao na kujazana in the West? Fananisha na hao 72k.
View attachment 2770393
Tatizo lako unakula sana propaganda za media za huko kuwa dunia ni US na washirika wake basi jifunze acha kuandika upumbavu humu