China vs USA: Infrastructure, Technology and Development

Unatafuta sababu za kitoto sana mdogo wangu.
 
Imehusikaje mkuu? Hayo majengo 6 ndio nchi nzima

Sheria za China kuhusu suala la mipango miji liko chini ya serikali

Hawawezi kutumia foreign companies kwenye hilo chifu
 
Zaidi kivipi? Wakati China nao wana architecture companies kubwa duniani
 
Naona hauna hoja mkuu. Mbona China anajenga miundombinu Marekani
 
Kati ya China na USA nani ana modern infrastructure?
 
The world’s top 10 busiest container ports:

●China: 6
●USA: 1

Shanghai 🇨🇳
Singapore 🇸🇬
Ningbo-Zhoushan 🇨🇳
Shenzhen 🇨🇳
Guangzhou 🇨🇳
Qingdao 🇨🇳
Busan 🇰🇷
Tianjin 🇨🇳
LA / Long Beach 🇺🇸
Hong Kong 🇭🇰
 
International Science Ranking:

🇨🇳 China
🇺🇸 United States
🇮🇳 India
🇬🇧 United Kingdom
🇩🇪 Germany
🇮🇹 Italy
🇯🇵 Japan
🇨🇦 Canada
🇦🇺 Australia
🇫🇷 France
🇪🇸 Spain
🇷🇺 Russian Federation
🇰🇷 South Korea
🇧🇷 Brazil
🇮🇷 Iran
🇳🇱 Netherlands
🇹🇷 Turkey
🇸🇦 Saudi Arabia
🇵🇱 Poland
🇨🇭 Switzerland
🇸🇪 Sweden
🇹🇼 Taiwan
🇲🇾 Malaysia
🇪🇬 Egypt
🇮🇩 Indonesia
🇵🇰 Pakistan
🇧🇪 Belgium
🇵🇹 Portugal
🇩🇰 Denmark
🇿🇦 South Africa
 
China contributes 51.5% of the global solar installations.

Actually more than that, the solar installations in other countries mainly(80%-90%) depends on the imports of photovoltaic equipments from China. This is China's greatest contribution to global warming.

 
World's largest city metro systems:

🇨🇳 Shanghai: 795.5 km
🇨🇳 Beijing: 785.7 km
🇨🇳 Guangzhou: 617 km
🇨🇳 Shenzhen: 547.4 km
🇨🇳 Chengdu: 518.5 km
🇨🇳 Hangzhou: 516.2 km
🇨🇳 Nanjing: 498.7 km
🇨🇳 Chongqing: 485 km
🇨🇳 Wuhan: 460.9 km
🇷🇺 Moscow: 449.1 km
🇬🇧 London: 402 km
🇺🇸 New York City: 399 km
🇮🇳 Delhi: 350.4 km
🇰🇷 Seoul: 345.3 km
🇨🇳 Qingdao: 315.9 km
🇨🇳 Xi'an: 300.4 km
🇪🇸 Madrid: 293.9 km
🇨🇳 Tianjin: 288.3 km
🇨🇳 Suzhou: 249.7 km
🇨🇳 Zhengzhou: 238.8 km
🇨🇳 Dalian: 237.7 km
🇸🇬 Singapore: 230.6 km
🇫🇷 Paris: 226.9 km
🇨🇳🇭🇰 Hong Kong: 209 km
🇨🇳 Changsha: 207.9 km
🇺🇸 Washington, DC: 206 km
🇲🇽 Mexico City: 200.88 km
🇹🇷 Istanbul: 199.26 km
🇲🇾 Kuala Lumpur: 196.2 km
🇯🇵 Tokyo: 195.1 km

Data is from 2020-2022
 
World's longest bridges:

🇨🇳 Danyang-Kunshan Grand Bridge: 164.8 km
🇹🇼 Changhua-Kaohsiung Viaduct: 157.3 km
🇯🇵 Kita-Yaita Viaduct: 114.4 km
🇨🇳 Tianjin Grand Bridge: 113.7 km
🇨🇳 Cangda Grand Bridge: 105.9 km
🇨🇳 Weinan Weihe Grand Bridge: 79.7 km
🇹🇭 Bang Na Expressway: 54 km
🇨🇳 Beijing Grand Bridge: 48.2 km
🇵🇭 Metro Manila Skyway System: 39.2 km
🇺🇸 Lake Pontchartrain Causeway: 38.4 km
🇨🇳 Wuhan Metro Bridge Line 1: 37.8 km
🇺🇸 Manchac Swamp Bridge: 36.7 km
 
Top countries by number of scientific publications:

🇨🇳 China: 744k
🇺🇸 United States: 624k
🇬🇧 United Kingdom: 198k
🇮🇳 India: 191k
🇩🇪 Germany: 174k
🇮🇹 Italy: 127.5k
🇯🇵 Japan: 127.4k
🇨🇦 Canada: 121k
🇷🇺 Russia: 119k
🇫🇷 France: 112k
🇦🇺 Australia: 106k
🇪🇸 Spain: 104k
🇰🇷 S. Korea: 91k
 
Mimi nakujibu kwa facts

Designer wa tallest building in china huyu hapa. Ni kampuni ya China

View attachment 2770730
Umeleta taarifa kutoka Wikipedia, ila mtu mwingine akitumia hiyohiyo Wikipedia kukupinga unasema "siyo reliable source". Hahaha!

Hata hivyo, chanzo chako bado kinathibitisha kwamba hoja yangu ni sahihi kuhusu uhusika wa Marekani katika design process. Kampuni iliyohusika kwenye architecture ni Gensler kutoka Marekani. Huyo architect mchina anayetajwa hapo ni msomi kutoka Chuo Kikuu cha Colorado Denver nchini Marekani na ni mwajiriwa wa kampuni ya Gensler kutokana na uzoefu wake wa kijiografia katika eneo project ilipo.

Chanzo chako (Wikipedia) kinasema:



Wakati mwingine usiikatae Wikipedia. Imekusaidia mara nyingi tu humu!

Mimi chanzo changu ni kutoka Gensler wenyewe ambao kama kampuni moja wamehusika kwenye design process yote:



Link:
 
Nimeshaeleza sababu za kijiografia kuhusu Marekani kutowekeza zaidi kwenye HSR.

Nimekopi na kupesti kile nilichosema awali:

Marekani ukizingatia population yake tayari ina large network ya usafiri wa ndege (domestic airline) ambayo inakidhi mahitaji ya wananchi kwa kiasi kikubwa. Kuongeza network ya HSR kupita kiasi kwa kipindi cha sasa ni matumizi mabovu ya rasilimali.

Kuhusu suala la geography na demographics: High Speed Railway inaleta manufaa zaidi ya kiuchumi kama population density ni kubwa na miji yenye wakazi wengi inakaribiana zaidi. Population kubwa ya Wachina iko katika miji ya mashariki zaidi mwa China kijiografia na ndiko ambako network yao ya HSR imejikita zaidi.

Population density ya Marekani ni ndogo kuliko China, isitoshe population imetawanyika zaidi (scattered) katika states mbalimbali tofauti na China, hivyo kupanua zaidi network ya HSR ni changamoto bila benefits kwenye uendeshaji wa mradi. Ni Wamarekani wangapi wenye safari za haraka watapanda treni ya mwendo kasi kutoka Los Angeles mpaka New York waache ndege ambayo ni nafuu na yenye kasi zaidi?

Sijui kama unafahamu kuwa Marekani ndiyo nchi yenye largest road network duniani. Pia Marekani hiyohiyo ni nchi yenye largest railroad network in the world kwa ajili ya usafirishaji wa mizigo (freights), usafiri wa umma n.k. Kuongeza network mpya ya HSR pia kunaleta athari kwa network kubwa ya reli ambayo tayari ipo na inaendesha uchumi.

Mwisho wa kunukuu maneno yangu mwenyewe.
 
Imehusikaje mkuu? Hayo majengo 6 ndio nchi nzima

Sheria za China kuhusu suala la mipango miji liko chini ya serikali

Hawawezi kutumia foreign companies kwenye hilo chifu
Sio kweli!

Sheria za China zinaruhusu foreign firms kuhusika kwenye kutoa wataalamu wa mipango miji.

Moja ya projects za urban planning ni hii hapa ambayo imehusisha makampuni matatu kutoka nje (Marekani na Uingereza) katika masuala ya architecture na consultancy. Project inaitwa Meixi Lake City ama Meixi Lake Master Plan kwa mujibu wa Kohn Pedersen Fox:



Soma zaidi hapa:
 
Unaleta utoto kweli kijana wangu. Tuoneshe Infrastructures za USA. Hapa unapiga porojo tu.

Wewe weka infrastructure za USA.

Baada ya hapo watch this


View: https://youtu.be/EMEHj4BnDGw?si=YCM_Xq6iOzvRaT3l
 
Maelezo mengi mno. Dalili ya kukosa contents. Wewe weka hapa Infrastructures tulinganishe. Siyo oh! Mara architect mara oh! Designers. Mzee weka miundombinu ya USA tulinganishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…