The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Baada ya Rais Trump wa Marekani kuiongezea china Terrifs kwenye bidhaa zake kutoka asilimia 10 hadi ishirini. Nao wamejibu kuiongezea bidhaa za marekani asilimia 15.
Bidhaa za marekani ambazo china zimeongeza teriffs hadi asilimia 15 ni sorghum (ulezi), soybeans, pork (kiti moto), beef, aquatic products, fruits, vegetables, and dairy products”.
Baada ya China kufanya hivyo kilichonifurahisha ni kiingereza walichotumia kumjibu Marekani yani kimeenda shule balaa na ni msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya china alitumia. Yani Nouma China kwenye kutema yai nimewanyooshea mikono. Cheki hapo chini.
Speaking at a regular briefing on Tuesday, Lin Jian, a spokesperson for China’s Foreign Ministry, said “China will fight till the end” if the US “insists on waging a tariff war, trade war or any other kind of war.”
“I want to reiterate that the Chinese people have never feared evil or ghosts, nor have we ever bowed to hegemony or bullying. Pressure, coercion and threats are not the right ways to engage with China. Trying to exert maximum pressure on China is a miscalculation and a mistake".
Senior JF economist and Geopolitics expert and analyst.
Mpaji Mungu Chaliifrancisco PSL god Mufti kuku The Infinity
Nyau de adriz