China wako vizuri sana kwenye kiingereza. Yani walivyomjibu Trump kwenye tarrifs, nimewakubali

China wako vizuri sana kwenye kiingereza. Yani walivyomjibu Trump kwenye tarrifs, nimewakubali

Na hajasomea UK wala US bali shule zao tu
Amesoma international studies na anaongea pia fluent Kijapani
Shule zao nzuri na wako vizuri
Acha wababe wapondane
 
Back
Top Bottom