Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Aviation & Aerospace huko China, almaarufu Zhuai Air Show jamaa wamefanya yao.
Wametuletea fighter wanaiita Baidi kwa lugha nyepesi “White Emperor” ambayo inaaminiwa kua ni 6th gen yao ya kwanza katika ulimwengu wa Fighters.
Chuma ina uwezo wa kwenda supersonic speed na kuvuka barrier ya atmosphere na kwenda kwenye space, hii ni moja ya feature inayosubiriwa sana kwenye next gen fighters (integrated space-air fighter).
Ingawa specifications nyingi bado wamezificha, ila kidogo wametupa ABC ya tunakoenda.
Tusubirie Lockheed Martin watatuletea nini.
Tusubirie Lockheed Martin watatuletea nini.