Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actualy how ndio leading aircraft military aircraft manufactures, even recent chines war planes nyingi wamecopy kutoka kwa design za lockheedLok Hedi kashapoteana
Wewe sasa ndio unachekesha f 22 zimeuzwa kwa nchi ipi na ipi je nazo mbovu au zina shida gani mpaka zisiuzweF-35 zimeuzwa Israel, Uingereza, Japan, South Korea, Australia, Italy, Canada, Singapore, Finland, Poland, Germany, Denmark, Uholanzi, Ugiriki.
Ina maana wote hao ni wapumbavu hawana akili wamekosa ndege za kununua wakanunua F-35 ambayo imepoteza kodi za Wamarekani. Unaikashifu ndege ambayo Uturuki walilia wasiondolewe kwenye mradi, wakabembeleza. Ndege ambayo mpaka sasa units zilizotengenezwa ni zaidi ya 1,000 ndani ya miaka michache na order ni nyingi mpaka Lockheed Martin wamezidiwa?
F-35 ilishindanishwa kwenye tenda za nchi kadhaa kama Finland hao ndio walikuwa wawazi kabisa. Haijawahi shindwa na ndege yeyote.
Unachekesha.
Wanalipana mishahara mikubwa mnoLockheed martin chombo chao bei lazima iwe ya kibabe.
Secret project ya Lockheed Martin huwa kwa Skunk Works walewale walioasisiwa na engineer Clarence "Kelly" Johnson wakatoa SR-71 Blackbird. Sasa kama Blackbird ilikuwa ni secret project hata funding walikuwa wanadanganya kupewa bajeti basi lazima na SR-72 iwe secret.Umeandika vizuri.
Ila pia 6th gen itafocus sana kwenye AI, maana kama speed LM washakuaga na mach 3+ kitambo tokea 1960s.
Kila mmoja anaogopa kutangulia kuonesha au ni secret project usikute vyuma tayari vipo
Nilikusoma vibayaSijasema ni bora, nimesema zao bei huwa ni ya juu mnoo.
Umezungumzia F-35 sasa unapigwa za uso unakuja kwa F-22.Wewe sasa ndio unachekesha f 22 zimeuzwa kwa nchi ipi na ipi je nazo mbovu au zina shida gani mpaka zisiuzwe
Helmet ya F 35 inauzwa dola 400K, 2 billions Tzshs.BaiDi sio ndege ni kama demonstrator zile ambazo Marekani hupewa suffix ya -X, kwa Urusi huitwa Project .....
BaiDi ni mock up ya 6th generation fighter jet ila kwenda space haiwezi sababu sio mojawapo ya vigezo vya 6th gen. na hiyo tech wala haipo ya kufanya stealth jet hapohapo iende kwenye space.
Marekani kwa upande wake kina Lockheed Martin wana kazi ya USAF kutoa Next Generation Air Dominance (NGAD) itakayokuwa 6th gen. na iwe replacement ya F-22 Raptor
Unit cost ya NGAD itakuwa kubwa mara tatu ya F-35 ndio maana wamesitisha kama vile kwa ajili ya funding ila si kwamba wameacha. Na vile Marekani mpaka sasa haina serious threat ya F-22 wala F-35 sasa haina haja ya kukurupuka kutengeneza ndege nyingine. Ikifanya hivyo yatakuwa yaleyale ya kuogopa ikaunda F-15 kushindana na Mig-25 kumbe Mig-25 ilikuwa overestimated sana.
Uingereza nao wanataka 6th kama vile. Wataruka 5th gen, Ulaya pale nadhani hata Wafaransa na Wajerumani watairuka 5th waende 6th.
Ona unavyojikanyaga hapo nimekuomesha tu kwamba ndege kuuzwa sana sio kama ndio ubora ushawahi kujiuliza kwanini hio 22 haiuzwi ila hio 35 inauzwaUmezungumzia F-35 sasa unapigwa za uso unakuja kwa F-22.
F-22 haiuzwi na iko kwenye sheria kabisa tangu ndege inaanza.
Sio kila kitu ni cha kuuza kama vipi waambie China wenye J-20 zaidi ya 200 kwa sasa waanze kuuza. Urusi ndio inataka kuuza Su-57 na wateja bado, joint project na India ilikufa India ikaona hamna kazi ikachukua hela yake ikakimbia. Kitambo Su-57 inaitwa PAK FA.
Ndege sio mapera kwamba unazificha, hakuna cha maybe ni kwamba hatuna modern fighter jet angalau ya kutulinda.Ila si uwa tunaziona F-7s. They are old ila nice, maybe zipo ambazo hawaziweki public.
Nimemuuliza hapo juu badala ya kujibu anaanza kutoa vioja f35 hamna ndege pale kama ndege kweli wauze 22 tuoneHelmet ya F 35 inauzwa dola 400K, 2 billions Tzshs.
F35 wanaipigia sana kelele watoe hata mbili ziingie kuisadia Ukraine..
F35 ni tolea limebuma, hakuna cha stealth wala electronics warfare... Wajinga ndio waliwao.. mbona hawauzi hizo F22 raptor?
Lok he'd wanaondoka hao ohooooActualy how ndio leading aircraft military aircraft manufactures, even recent chines war planes nyingi wamecopy kutoka kwa design za lockheed
So hawajapoteana, focus ipo kwenye drones zaidi
Na wamenunua ndege zaidi ya 1000.Helmet ya F 35 inauzwa dola 400K, 2 billions Tzshs.
Fighter jet sio bodaboda za kubebea kitimoto kwamba unatoa mbili zinafanya delivery.F35 wanaipigia sana kelele watoe hata mbili ziingie kuisadia Ukraine..
F-22 sio ndege ya kuuza. Marekani sio machinga kwamba kila kitu inauza kama nchi fulani hadi Alaska iliuza hata Flanker jets iliuzia China teknolojia.F35 ni tolea limebuma, hakuna cha stealth wala electronics warfare... Wajinga ndio waliwao.. mbona hawauzi hizo F22 raptor
Hii mada tukijadili humu miaka imepita, F35 ni toleo la ndege walitaka kufanya iwe na uwezo kufanya mambo lukuki kitu ambacho ilipelekea kikatikea kituko kinaitwa F35...Nimemuuliza hapo juu badala ya kujibu anaanza kutoa vioja f35 hamna ndege pale kama ndege kweli wauze 22 tuone
Mwenye toleo kali la stealth plane ni nan?Helmet ya F 35 inauzwa dola 400K, 2 billions Tzshs.
F35 wanaipigia sana kelele watoe hata mbili ziingie kuisadia Ukraine..
F35 ni tolea limebuma, hakuna cha stealth wala electronics warfare... Wajinga ndio waliwao.. mbona hawauzi hizo F22 raptor?
Naunga mkono hoja 35 walitaka kuitia mambo mengi ikafeli ila Ile 22 hatari sana Ile 35 inajionesha tu hamna jambo ndege zinaanguka tu zenyewe kila sikuHii mada tukijadili humu miaka imepita, F35 ni toleo la ndege walitaka kufanya iwe na uwezo kufanya mambo lukuki kitu ambacho ilipelekea kikatikea kituko kinaitwa F35...
Mission F35 imefanya? Israel si anazo, na F35 inasifika ni stealth na ina uwezo kushambulia radar, mbona Israel hajazitumia kufanya retaliation nchini Iran, angeingiza hata F35 nne tu...
Badala yake kishia mipakani...
Hata watengenezaji wenyewe hawaamini hizo ndege uwezo wake kama wanavyo present..
F22 kwenye uwanja wa mapambabo inai outperform F35 katika uhalisia... F35 ina outperform F22 kwenye maneno na specs za maabara ambazo ni kinadharia zaidi not practical...
Tusubiri ya wamagharibi .... nadhani Ulaya sasa watatafuta yao bila kuihusisha Marekani.Kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Aviation & Aerospace huko China, almaarufu Zhuai Air Show jamaa wamefanya yao.
Wametuletea fighter wanaiita Baidi kwa lugha nyepesi “White Emperor” ambayo inaaminiwa kua ni 6th gen yao ya kwanza katika ulimwengu wa Fighters.
Chuma ina uwezo wa kwenda supersonic speed na kuvuka barrier ya atmosphere na kwenda kwenye space, hii ni moja ya feature inayosubiriwa sana kwenye next gen fighters (integrated space-air fighter).
Ingawa specifications nyingi bado wamezificha, ila kidogo wametupa ABC ya tunakoenda.
Tusubirie Lockheed Martin watatuletea nini.
Hapo juu umesema marekani sio ya kuuza kila kitu halafu huku chini umetaka Russia auze su je kama nae anafanya kama marekani anavyo fanya kwa 22Na wamenunua ndege zaidi ya 1000.
Urusi ana Su-57 tuambie ni nani kanunua😂
Fighter jet sio bodaboda za kubebea kitimoto kwamba unatoa mbili zinafanya delivery.
Fighters zina formation, zina squadron ndege kama 12 au juu/pungufu kidogo kutokana na mfumo wa Airforce ya nchi husika. Sasa utoe ndege mbili kwani hizo zimekuwa AWACS?
Kama F-35 haziendi Ukraine mbona pia bado Su-57 haziendi Ukraine.
F-22 sio ndege ya kuuza. Marekani sio machinga kwamba kila kitu inauza kama nchi fulani hadi Alaska iliuza hata Flanker jets iliuzia China teknolojia.
Ndege itauzwa kama iko sokoni, kama haipo sokoni haitauzwa.Ona unavyojikanyaga hapo nimekuomesha tu kwamba ndege kuuzwa sana sio kama ndio ubora ushawahi kujiuliza kwanini hio 22 haiuzwi ila hio 35 inauzwa