Bei sio inayo amua ubora wa kitu ndio maana f35 zajidondokea tuLockheed martin chombo chao bei lazima iwe ya kibabe.
Huwezi poteza kampuni kubwa yenye kuzalisha maelfu ya fighter jets kwa bati la maonyesho.Lok Hedi kashapoteana
The United States is developing next-generation fighters, including Lockheed Martin's SR-72 Darkstar project, which aims to produce a hypersonic reconnaissance drone.Kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Aviation & Aerospace huko China, almaarufu Zhuai Air Show jamaa wamefanya yao.
View attachment 3152449
Wametuletea fighter wanaiita Baidi kwa lugha nyepesi “White Emperor” ambayo inaaminiwa kua ni 6th gen yao ya kwanza katika ulimwengu wa Fighters.
View attachment 3152450
Chuma ina uwezo wa kwenda supersonic speed na kuvuka barrier ya atmosphere na kwenda kwenye space, hii ni moja ya feature inayosubiriwa sana kwenye next gen fighters (integrated space-air fighter). View attachment 3152451
Ingawa specifications nyingi bado wamezificha, ila kidogo wametupa ABC ya tunakoenda.
Tusubirie Lockheed Martin watatuletea nini.
The United States is developing next-generation fighters, including Lockheed Martin's SR-72 Darkstar project, which aims to produce a hypersonic reconnaissance drone.Huwezi poteza kampuni kubwa yenye kuzalisha maelfu ya fighter jets kwa bati la maonyesho.
Hehehe kampuni kubwa ila kwa f 35 wamepiga kodi za wamarekani na kwa f 22 pesa zao zilitumika kihalaliHuwezi poteza kampuni kubwa yenye kuzalisha maelfu ya fighter jets kwa bati la maonyesho.
F-35 zimeuzwa Israel, Uingereza, Japan, South Korea, Australia, Italy, Canada, Singapore, Finland, Poland, Germany, Denmark, Uholanzi, Ugiriki.Hehehe kampuni kubwa ila kwa f 35 wamepiga kodi za wamarekani na kwa f 22 pesa zao zilitumika kihalali
Umeandika vizuri.BaiDi sio ndege ni kama demonstrator zile ambazo Marekani hupewa suffix ya -X, kwa Urusi huitwa Project .....
BaiDi ni mock up ya 6th generation fighter jet ila kwenda space haiwezi sababu sio mojawapo ya vigezo vya 6th gen. na hiyo tech wala haipo ya kufanya stealth jet hapohapo iende kwenye space.
Marekani kwa upande wake kina Lockheed Martin wana kazi ya USAF kutoa Next Generation Air Dominance (NGAD) itakayokuwa 6th gen. na iwe replacement ya F-22 Raptor
Unit cost ya NGAD itakuwa kubwa mara tatu ya F-35 ndio maana wamesitisha kama vile kwa ajili ya funding ila si kwamba wameacha. Na vile Marekani mpaka sasa haina serious threat ya F-22 wala F-35 sasa haina haja ya kukurupuka kutengeneza ndege nyingine. Ikifanya hivyo yatakuwa yaleyale ya kuogopa ikaunda F-15 kushindana na Mig-25 kumbe Mig-25 ilikuwa overestimated sana.
Uingereza nao wanataka 6th kama vile. Wataruka 5th gen, Ulaya pale nadhani hata Wafaransa na Wajerumani watairuka 5th waende 6th.
Ndio, mfano Lockheed Martin YF-12 pilot wanavaa nguo za space. Oya chuma ilikua inapiga mach 3 uko, zaidi ya 3,600 km/hKwahiyo huyo Pilot anakuwa kama Astronaut badala ya G Suit atakuwa anavaa Space Suit au vyote kwa pamoja?!
Bongo tungeweza tungenunua Chengdu J-10C zingedumu nasi kwa miaka kama 35 baadae zikipewa upgrades. Tukikosa basi tupate JF-17 Block III au IV ambazo Mchina aliunda kwa ajili ya Pakistan na foreign market. Ndio 4th generation za bei nafuu duniani, na ziko matured na hazina politics nyingi zinazoambatana nazo.Muda wa sisi ku-upgrade Chengdu zetu.
Sijasema ni bora, nimesema zao bei huwa ni ya juu mnoo.Bei sio inayo amua ubora wa kitu ndio maana f35 zajidondokea tu
Ila si uwa tunaziona F-7s. They are old ila nice, maybe zipo ambazo hawaziweki public.Bongo tungeweza tungenunua Chengdu J-10C zingedumu nasi kwa miaka kama 35 baadae zikipewa upgrades. Tukikosa basi tupate JF-17 Block III au IV ambazo Mchina aliunda kwa ajili ya Pakistan na foreign market. Ndio 4th generation za bei nafuu duniani, na ziko matured na hazina politics nyingi zinazoambatana nazo.
Kwa sasa si sahihi kununua ndege kama Mirage III maana sisi wabahiri kama Mig-21 tumekaa nazo kwa miaka zaidi ya 30 wakati tulizinunua zikiwa hot kipindi kile. Hata Wahindi wakija na Tejas zitakuwa zinasumbua sio za kununua. Wazungu ndege zao hatuwezi kabisa, sasa bajeti ya Jas-39 Gripen tutoe wapi.
Tukishindwa kabisa kabisa basi tuwe na advanced trainers zinazotumika kama light fighter. South Korea wanayo KAI T-50 inafaa.
Hapana!yeye ataenda kuomba msaada wa madawatiliko vizuri mazee...je mama atatuletea haya makituu?