China wamezindua 6th Gen Jet Figher inaitwa Baidi: Ina uwezo wa kuoperate kwenye air na Space!

F 22 sio haipo sokoni Sema haijaekwa sokoni na sababu zimewekwa wazi kabisa kuihusu
 
F35 ni wametoa variants karibu tatu ndani ya muda mchache yote hio ni kuziba mapungufu, ndege ya mapigano ina tani 25, hio ni ndege au lori...
 
Nani anashindanisha su 57 na F35, hapa inazungumziwa F35...
 
Kuna competition kubwa sana kati ya Marekani na China nani atakuwa wa kwanza kuja na 6th generation

 
Hii ni SU - 57 kutoka kwa mrusi

View: https://x.com/clashreport/status/1853748008791232568?t=NL0sVw0G7fToK5piHSdvaw&s=19
View: https://x.com/clashreport/status/1853403110657409363?t=bYZ8Oj0jUGqY8QP6GmgN1w&s=19
 
Hii mashine mbona imefanana kabisa na Darkstar ya kwenye top gun maverick ya Tom cruise?
 

Attachments

  • images (54).jpeg
    27.4 KB · Views: 4
  • images (56).jpeg
    19.5 KB · Views: 5
  • images (55).jpeg
    29.6 KB · Views: 4
F35 ni wametoa variants karibu tatu ndani ya muda mchache yote hio ni kuziba mapungufu, ndege ya mapigano ina tani 25, hio ni ndege au lori...
F-35 ina variants tatu zote zimetoka kwa pamoja. Kila variant ina kazi yake nyingine ya Airforce, nyingine ya Navy na nyingine ya Marines.

Su-57 haiwezi kuwa hivyo sababu Urusi kwanza aircraft carrier yake ile inayotoa moshi kama mashine ya kusaga bado haijakamilika ukarabati tangu 2017. Na Urusi haina stealth carrier based fighter kama ilivyo F-35B na F-35C. Urusi ina Su-33 kama variant ya Su-30 kwenye carrier.

Mig-31 ya Warusi ina tani 46 kama kifaru na husemi, unakuja kuisema F-35 yenye tani 26
 
F 22 sio haipo sokoni Sema haijaekwa sokoni na sababu zimewekwa wazi kabisa kuihusu
Kutokuwepo sokoni na kutowekwa sokoni havipingani. Unacholetea ligi ni kipi sasa?

Au ulitaka F-22 isiwepo sokoni, ila iwe iliwekwa sokoni?
Simply ni kwamba F-22 is not for sale. Hata B-2 is not for sale, hata B1B Lancer, hata B-21 Raider, hata E2-D Advanced Hawkeye. Ndege nyingi tu za jeshi la Marekani haziuzwi wala hazijawahi tangazwa kuuzwa. Hakuna njaa pale DoD.
 
Basi pia uzi sio wa F-35 ni wa ndege ya Kichina.
Kwanini Su-57 isishindanishwe na F-35 au J-20 wakati nayo waliotengeneza wanaiita 5th generation.
Wewe ndiye umeingiza masuala ya lockheed martin...

Wachina na hii project yao ya 6th gen fighter, na kama wamesema itakwenda kwenye space jua ndivyo itakakavyokua , hao jamaa hawana uswahili wa kipuuzi, kaa ushuhudie ndege ya kisasa F35 inakuwa phased out wakati imetoka juzi tu...

Chinese waliwapita hata kwenye 5G, zikaanza kamati ikiongoza US, Qualcomm ilikuwa imepitwa kwa tech ya 5G...

Kama wamesema watatoa hio 6th gen fighter jet ndivyo itakuwa.

Mchina simkubali kwenye baadhi ya vitu, lakini kwa tech na speed wanayoionyesha wanatisha...

Hapo lockheed kapigwa dole la kati, atulie tu mje muangalie ndege inakwenda kwenye space...
 
Kuna competition kubwa sana kati ya Marekani na China nani atakuwa wa kwanza kuja na 6th generation

Rising Dragon anajitahidi mno kutoa ushindani kwa Marekani...ni wakati wa Japan nae kuamka Ili kuweka deterrence.

T14 Armata
 
Umeandika vizuri.

Ila pia 6th gen itafocus sana kwenye AI, maana kama speed LM washakuaga na mach 3+ kitambo tokea 1960s.

Kila mmoja anaogopa kutangulia kuonesha au ni secret project usikute vyuma tayari vipo
Pia 5th generation zikiwa upgraded zitakuwa na drones kama royal wingmen. Ingawa 6th ndio itaweza vizuri kuendesha drones na hata iendeshwe na AI sio lazima kuwa manned, ila hili baadae sana.
 
Ndio maana nikakwambia kwamba ubora wa ndege haupimwi kwa kuuzwa au kununuliwa sana kama ulivyosema kwa f 35 zile ndege za mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…