China wamezindua 6th Gen Jet Figher inaitwa Baidi: Ina uwezo wa kuoperate kwenye air na Space!

Tatizo ni madrasa
 
Una ujuzi wa kusoma soma, ni jambo jema, ila angalia usijifanye spokesman wa JW-airwing, kwamba tuna hiki au hatuna kile, hizo siri wala sio level yako hata kuzi guese tu. Waachiwe wadau wa mambo hayo. We ongelea kile ulichoonyeshwa tu
 
Hivi china wao hawawazi kuhusu mambo ya DINI makongamano na vitu kama hivyo
 
Una ujuzi wa kusoma soma, ni jambo jema, ila angalia usijifanye spokesman wa JW-airwing, kwamba tuna hiki au hatuna kile, hizo siri wala sio level yako hata kuzi guese tu. Waachiwe wadau wa mambo hayo. We ongelea kile ulichoonyeshwa tu
Uwepo wa fighter jets hauhitaji ujuzi, unataka procurement na budget. Ikiwa hujazinunua haijalishi upo Airforce au unauza nyanya, bado ndege zinakuwa hamna.

Wala ndege hazifichwi mifukoni kwamba hazionekani. Tuliponunua Airbus helicopters zimeonekana, tumeagiza C-27J Spartan na sio siri. Iweje fighters ziwe siri kwani pipi hizo.
 
Hehehe Ile ilikua UAV
Sasa unaona mbinu kama hizo 🤣🤣🤣
Hata watengenezaji wenyewe hawakuwahi kugundua ndege yao ikimwagiwa mafuta itaanguka...

Hata huko maabara hawakuwahi kujaribu hio ndege ikimwagiwa mafuta ina malfunction 🤣🤣

Watu wanakazana 5th gen fighters, mara modern warfare, sasa hivi huko Ukraine askari wanachimba trenches as if ni world war 2, vita katika uhalisia sio mchezo...

F35 speed yake ni ndogo, overhyped na over priced, ikitokea ikaonekana , haiwezi kutoroka ndege kama mig 31 inayotembea km 3000 kwa saa..

Ndio maana F35 ni pambo na specs nyingi za maabara kwa ajili ya maonyesho, kwenye battle zinakwenda F16s ,F15, na F18 hornet...

We jiulize kwanini?

Interceptor za mifumo kama Thaad n.k zina cost miliions of dollars, US wana pesa hawashindwi kuzitoa sadaka F35 hata tano tu kupima uwezo wake kwenye real battle Iran au Ukraine.... Uone wajanja watakavyo zipopoa kama maembe...

Itakuwa ni kituko cha karne na aibu 🤣

Iran hao walishashusha Rq sentinel ambayo nayo ilikuwa hyped eti oohh ilisaidia kwenye intel kumtafuta Osama na kum track, oooh ni stealth haionekani na radar...

Mwisho wake ni aibu...
 
Hehehe kabisa yaani madhaifu ya silaha zao yanajulikanwa na wengine ila wao wenyewe hawajui pia silaha za westerners nyingi kama sio zote zinatisha sana kwa propaganda ila kwa uhalisia kiukweli zinajiaibisha 35 ikienda really beto watu wataikataa ndege zinaanguka zenyewe zile hata hazijafika beto hapo
 
Hii habari si ya kweli.
Israel F35 zilionwa na radar za Iran mamia ya kilomita kabla hata ya kuingia anga la Iran, jambo ambaloli liliwashangaza jeshi la Israel, mifumo ya anga ya Israel ili lock targets f35, wangeingia tu kwenye space hizo ndege zingepigwa zote...

Kitu hicho wachambuzi na wafuatiliaji wanasema ilipelekea ndege hizo za Israel kuachia missiles kabla ya kufika eneo husika (prematurely) hivyo pilots wali abort mission kushambulia na kurudi walikotoka, ndio maana kila medias na sources mbali mbali wanasema casualties zilikuwa ndogo sana... Jets zaidi 100 lakini hakuna walichofanya... Hizo ni habari ambazo ni unverified...

Anga la middle east sio sehemu ya Israel kujimwambafy na air superiority...
 
Ndege ina korokoro nyingi, si unaona wameitengeneza uwezo wa kunyanyuka hapo hapo na kuruka, ndio maana ina payload ndogo, ina uwezo mdogo wa kubeba silaha... Kwa huo upuuzi wa stealth ndio maana ina engine moja...

Kuweka korokoro nyingi sehemu moja matokeo yake ndio hayo, inabidi baadhi ya vitu upunguze, F35 haina speed kwa sababu ya huo ujinga wa stealth..
 
Vizuri. Kwahiyo hiz procurement ni masuala open tu kila mtu anaweza yajua si ndio mkuu? Maana nilikua nikidhan kuwa masuala ya kijeshi ni siri sana
 
Sisi tunahitaji miaka 1000 tuyapate haya
Kwakizaz hiki cha kisonono na kaswende? Full UTI kweli hiyo miaka buku mbona michache sana??? Shule hiz za what is chemistry???ndio waje na utaalamu wa hali ya juu namna hii?? Huko mashuleni waalimu full kucheza vicoba na kuwaza mikopo ya kausha damu ndio watatengeneza generation ya kuja na gunduzi kama hiz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…