nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Wamarekani wazuri sana kwenye propaganda...Hehehe Ile ilikua UAV
Ground wanatia aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamarekani wazuri sana kwenye propaganda...Hehehe Ile ilikua UAV
F35 imekuwa tested kwenye battle lipi?J-35 haiwezi kuwa jibu maana mpaka sasa nchi moja tu ndio wanayo isitoshe sio ' battle tested '.
MAswali yangu hujajibu bado kuhusu j-35
Umevamia f-35 🤣
Tatizo ni madrasaF-35 zimeuzwa Israel, Uingereza, Japan, South Korea, Australia, Italy, Canada, Singapore, Finland, Poland, Germany, Denmark, Uholanzi, Ugiriki.
Ina maana wote hao ni wapumbavu hawana akili wamekosa ndege za kununua wakanunua F-35 ambayo imepoteza kodi za Wamarekani. Unaikashifu ndege ambayo Uturuki walilia wasiondolewe kwenye mradi, wakabembeleza. Ndege ambayo mpaka sasa units zilizotengenezwa ni zaidi ya 1,000 ndani ya miaka michache na order ni nyingi mpaka Lockheed Martin wamezidiwa?
F-35 ilishindanishwa kwenye tenda za nchi kadhaa kama Finland hao ndio walikuwa wawazi kabisa. Haijawahi shindwa na ndege yeyote.
Unachekesha.
J-35 ina muda gani tangu itoke kiwandani? 🤣Nimekujibu maswali yako yote labda kama uelewa wako ni mdogo haujaona majibu
Nimekuuliza na maswali umeyakimbia. Tuongee kwa fact achana na habari za udaku
Una ujuzi wa kusoma soma, ni jambo jema, ila angalia usijifanye spokesman wa JW-airwing, kwamba tuna hiki au hatuna kile, hizo siri wala sio level yako hata kuzi guese tu. Waachiwe wadau wa mambo hayo. We ongelea kile ulichoonyeshwa tuNdege sio mapera kwamba unazificha, hakuna cha maybe ni kwamba hatuna modern fighter jet angalau ya kutulinda.
J-7 au F-7 ni ndege za kizazi kilichopita hata kama nyingine zimenunuliwa na Kikwete zile 7G. Kenya na hasa Uganda wana airforce ina ndege nzuri kuliko sisi. Tuna majirani wengi sana inabidi kuwa na air dominance ndio utawale vita lolote likitokea. J-7 hata BVR haina sasa ndege gani hiyo lazima uone adui kwa macho ni kama unapigana acrobatic.
Sana hawana kitu zaidi ya propagandaWamarekani wazuri sana kwenye propaganda...
Ground wanatia aibu.
Israel ameitumia sana huko SyriaF35 imekuwa tested kwenye battle lipi?
Syria ambako hata F15 na F16 zilikwenda kupiga vinu vya nuclear mwaka 2007 hapo?Israel ameitumia sana huko Syria
Mbona juzi tu zilitumika ...Kwanini wasingezipeleka kuonyesha umwamba wake nchini Iran, zikapiga defense systems na radars, zikapiga kambi za jeshi n.k....
Uwepo wa fighter jets hauhitaji ujuzi, unataka procurement na budget. Ikiwa hujazinunua haijalishi upo Airforce au unauza nyanya, bado ndege zinakuwa hamna.Una ujuzi wa kusoma soma, ni jambo jema, ila angalia usijifanye spokesman wa JW-airwing, kwamba tuna hiki au hatuna kile, hizo siri wala sio level yako hata kuzi guese tu. Waachiwe wadau wa mambo hayo. We ongelea kile ulichoonyeshwa tu
Sasa unaona mbinu kama hizo 🤣🤣🤣Hehehe Ile ilikua UAV
Hehehe kabisa yaani madhaifu ya silaha zao yanajulikanwa na wengine ila wao wenyewe hawajui pia silaha za westerners nyingi kama sio zote zinatisha sana kwa propaganda ila kwa uhalisia kiukweli zinajiaibisha 35 ikienda really beto watu wataikataa ndege zinaanguka zenyewe zile hata hazijafika beto hapoSasa unaona mbinu kama hizo 🤣🤣🤣
Hata watengenezaji wenyewe hawakuwahi kugundua ndege yao ikimwagiwa mafuta itaanguka...
Hata huko maabara hawakuwahi kujaribu hio ndege ikimwagiwa mafuta ina malfunction 🤣🤣
Watu wanakazana 5th gen fighters, mara modern warfare, sasa hivi huko Ukraine askari wanachimba trenches as if ni world war 2, vita katika uhalisia sio mchezo...
F35 speed yake ni ndogo, overhyped na over priced, ikitokea ikaonekana , haiwezi kutoroka ndege kama mig 31 inayotembea km 3000 kwa saa..
Ndio maana F35 ni pambo na specs nyingi za maabara kwa ajili ya maonyesho, kwenye battle zinakwenda F16s ,F15, na F18 hornet...
We jiulize kwanini?
Interceptor za mifumo kama Thaad n.k zina cost miliions of dollars, US wana pesa hawashindwi kuzitoa sadaka F35 hata tano tu kupima uwezo wake kwenye real battle Iran au Ukraine.... Uone wajanja watakavyo zipopoa kama maembe...
Itakuwa ni kituko cha karne na aibu 🤣
Iran hao walishashusha Rq sentinel ambayo nayo ilikuwa hyped eti oohh ilisaidia kwenye intel kumtafuta Osama na kum track, oooh ni stealth haionekani na radar...
Mwisho wake ni aibu...
Hii habari si ya kweli.
Ndege ina korokoro nyingi, si unaona wameitengeneza uwezo wa kunyanyuka hapo hapo na kuruka, ndio maana ina payload ndogo, ina uwezo mdogo wa kubeba silaha... Kwa huo upuuzi wa stealth ndio maana ina engine moja...Hehehe kabisa yaani madhaifu ya silaha zao yanajulikanwa na wengine ila wao wenyewe hawajui pia silaha za westerners nyingi kama sio zote zinatisha sana kwa propaganda ila kwa uhalisia kiukweli zinajiaibisha 35 ikienda really beto watu wataikataa ndege zinaanguka zenyewe zile hata hazijafika beto hapo
Vizuri. Kwahiyo hiz procurement ni masuala open tu kila mtu anaweza yajua si ndio mkuu? Maana nilikua nikidhan kuwa masuala ya kijeshi ni siri sanaUwepo wa fighter jets hauhitaji ujuzi, unataka procurement na budget. Ikiwa hujazinunua haijalishi upo Airforce au unauza nyanya, bado ndege zinakuwa hamna.
Wala ndege hazifichwi mifukoni kwamba hazionekani. Tuliponunua Airbus helicopters zimeonekana, tumeagiza C-27J Spartan na sio siri. Iweje fighters ziwe siri kwani pipi hizo.
Sis wengine tuko busy ku copy notesWachangia mada hii nahisi ni wajeshi wabobezi haswa kweli jf ni dude kubwaaaaa
Kwakizaz hiki cha kisonono na kaswende? Full UTI kweli hiyo miaka buku mbona michache sana??? Shule hiz za what is chemistry???ndio waje na utaalamu wa hali ya juu namna hii?? Huko mashuleni waalimu full kucheza vicoba na kuwaza mikopo ya kausha damu ndio watatengeneza generation ya kuja na gunduzi kama hiz?Sisi tunahitaji miaka 1000 tuyapate haya