China wamezindua 6th Gen Jet Figher inaitwa Baidi: Ina uwezo wa kuoperate kwenye air na Space!

J-35 ina muda gani tangu itoke kiwandani? 🤣
Haujawahi kuona magari yanatoka kiwandani yanafanyiwa recall kwa sababu ya hitilafu?

Ndivyo na F-35 tangu itengenezwe imekuwa na shida kwenye engine.

Ni vile tu Manufacturers wake wamekimbia kuziboresha

Hoja yako ya miaka 10 haina mashiko yoyote. Ungesema F-35 imekuwa na miaka 10 ya matatizo kwenye engine ingekuwa hoja yenye mashiko

Acha ushamba
 
Pale kwa F35 wamefeli vibaya majamaa
 
Vizuri. Kwahiyo hiz procurement ni masuala open tu kila mtu anaweza yajua si ndio mkuu? Maana nilikua nikidhan kuwa masuala ya kijeshi ni siri sana
Hakuna siri katika kuuza na kununua silaha mkuu. Kwanza kuna sheria za kimataifa za kununua silaha ndio maana hatuwezi nunua za maangamizi kama mabomu ya sumu, nyuklia au biological weapons.

Na hata kama kuna siri kidogo kwenye kununua, kwenye kutumia sio siri.
 
Bado hujanijibu unaleta ugoro tu hapa j-35 ina muda gani tangu itoke kiwandani?
 
West wakiunda kitu chao huwa kinapakwa mafuta ww utandhani labda ni kitu tofauti na cha maana sana angali hats iphone series utakuta iphone 16 na iphne 12 zote tofoute ni Bettry to
 
West wakiunda kitu chao huwa kinapakwa mafuta ww utandhani labda ni kitu tofauti na cha maana sana angali hats iphone series utakuta iphone 16 na iphne 12 zote tofoute ni Bettry to
Jamaa kwa marketing wapo vizuri.
 
Dah sio muda mrefu kabisa China tulikuwa nao sawa. Sijui walisanuka vp aisee. Walikuwa wanaunda Phoenix sisi tunaunda Swala ila leo wana tembea km 500 kwa saa na tren zao kama nyoka wakati sisi tunawadunga tu stiki punda ili watuwahishe kwenye safari na mishe zetu. So sad
 
Wewe na akina nani mlikuwa sawa na Wachina. Yani Wandendeule na Wayao unawafananisha na Qing Dynasty au Ming Dynasty ya Wachina mkuu?

China wameanza kuandika miaka 1200 kabla ya Yesu, sisi Wabantu tumekuja kufundishwa kuandika na wazungu. Wamegundua karatasi wakiwa wa kwanza duniani, wamegundua gunpowder.

Hakuna mahala popote katika historia tuliwahi kuwa sawa na Wachina.
 
Achana nae mwehu huyo.....akishakunywa kahawa yake huko anakuja kujamba humu
 
China haijawahi kuwa sawa na tanzania mkuu, hizi ni propaganda!
China ni taifa lenye umri wa miaka zaidi ya 2000, hawa China ndio walianzisha mitihani ili kuwapata viongozi kwenye dynasty zao, ndio wagunduzi wa unga wa risasi, wagunduzi wa karatasi,.....

China aliyumba miaka ya 1840-1940 hapo, wanaita a century of humiliation, mwaka 60 wametoa misaada kwa nchi nyingi za Afrika kupata uhuru, 70 wametujengea tazara..... tulifanana lini?

China ni taifa kubwa kihistoria kuliko mataifa yote duniani........
 
Wewe sasa ndio unachekesha f 22 zimeuzwa kwa nchi ipi na ipi je nazo mbovu au zina shida gani mpaka zisiuzwe
F22 usa hauzi na hajawahi kumuuzia yoyote sio mbovu bali hizo ndege hauzi ametoa valiant 1 kwa kwa ajili ya usa tofauti na f35 ambazo zipo valiant z
F 22 sio haipo sokoni Sema haijaekwa sokoni na sababu zimewekwa wazi kabisa kuihusu
F 22 sio haipo sokoni Sema haijaekwa sokoni na sababu zimewekwa wazi kabisa kuihusu
Sababu gani
 
F35 ni wametoa variants karibu tatu ndani ya muda mchache yote hio ni kuziba mapungufu, ndege ya mapigano ina tani 25, hio ni ndege au lori...
Punguza uongo
 

Attachments

  • Screenshot_20241126-224726_Chrome.jpg
    489.3 KB · Views: 5
THAAD imeabika wapi?....hebu punguza mihemko
 
Una akili sawasawa....
 
Weka link ya hiyo taarifa yako kuwa f35 zilionekana mamia ya kilomita kwenye rada
 
F22 usa hauzi na hajawahi kumuuzia yoyote sio mbovu bali hizo ndege hauzi ametoa valiant 1 kwa kwa ajili ya usa tofauti na f35 ambazo zipo valiant z


Sababu gani
Sababu wamesema wanazuia tech yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…