China wanastrugle kukinyakua kisiwa ili isiwe chaka ya maadui lakini sisi tuko busy kukaribisha maadui. Au ni akili ndogo!!!

China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Ukiona jirani yako ni mwenye shari shari ni bora ujitenge naye
 
Kama Ng'ombe Aliyekatika Mkia Machungani
 
Kisiwa cha Pemba kiko karibu zaidi na Mombasa !
Kwahiyo Kenya nayo iinyakue Pemba ??!!
China anaamini Taiwan ni sehemu ya China kama ilivyokuwa HongKong !
Haihusiani na usalama wa China !!
 
Unajua hayo mambo ni utashi na mitazamo ya mtu tu hali ya matishio kwa sasa hayana mambo ya visiwani au wapi, na ndiyo maana nchi mbalimbali zimejikita zaidi katika mapambano ya matishio yanayoendelea. Yote hiyo kwasababu ugomvi wa nchi kwa nchi imepungua.
 
Machadema ni mbumbumbu
 
Dogo, una mawazo mgando sana. Hilo unalosema lilikuwa sahihi miaka ya 1970's huko.

Kwa teknolojia ya sasa hivi adui anaweza kuwa Djibouti, Comoro, Madagascar, au baharini tu na manowari yake akashambulia na kusambaratisha Dodoma kirahisi tu
 
Siyo kila kitu huzungumzwana siyo kila kinachoandikwa au kuzungumzwa hufanyika hivyo. Matendo yanayofanywa kwa akili ndiyo muhimu.
Kama kuna utashi wa kisiasa, hakutakuwepo kero wala chokochoko za Muungano (Tuliwahi kuwa na serikali moja kwa katiba 2).
Wenye akili nzuri wataelewa.
 
nyakati hizi kila kitu kinafanyika kwa uwazi, hakuna miaka ile ya nyuma kwamba watu fulani tu ndio wana privilege ya kujua mambo. huwezi kuniambia leo, faida tunayoipata kwa zanji iwe ya kiusalama au la inajulikana na wachache na watanzania walio wengi hawatakiwi kuipata, nadhani viongozi wajue dunia imebadilika. miaka ile ya kikundi cha watu ku-run nchi imepitwa na wakati, siku hizi wananchi ndio wanarun nchi, na kwa mujibu wa sheria. mambo ya kificho hayo ndio yamekuwa uchochoro wa kupiga pesa miaka yote.

nikiwauliza watu, deni la bilioni mia na ushee la umeme zanzibar walitakiwa kulipa TANESCO kipindi kile cha magufuli, lililipwa au walisamehewa? na kwanini? ccm wamechukua muungano kwamba ni mwiko watu kuujadili ama la utapotezwa, wamejenga hofu halafu kupitiamo wanapiga pesa na hawataki watu wauzungumzie, ni jambo gani la ulinzi ambalo raia mwenye akili haweizi kulijua?nini tusichojua, ni siri kama ya mganga? mshindwe kwa JIna la Yesu.
 
Dogo dhahabu kule migodini inaondoka kwa ndege maalum kwenda ulaya, kwa ruksa yetu wenyewe na ulinzi juu

Sasa ulinzi kutokea visiwani zenji una faida Gani kama tunajiibia wenyewe
 
Mwambieni mama abdul aache kugawa mali za tanganyika
 
Kwa nini waje wakushambulie wakati wewe unaweza kuwapa kila kitu wanachotaka bila wao kurusha hata mkuki? Kwani wametumia mabomu mangapi kuipata Loliondo au bandari zenu?

Kuna drone yoyote au manowari wametumia hadi mkawapa migodi yote wanayoiendesha?
 
Hakuna Siri, akili nzuri hufanya watu wote waridhike na wale wote wenye kusumbua wanajikuta wamedhibitiwa.
 
Hakuna Siri, akili nzuri hufanya watu wote waridhike na wale wote wenye kusumbua wanajikuta wamedhibitiwa.
anayedhibiti watu ni Mungu, wewe mwanadamu ukijifanya unazibiti wenzako wanaoleta hoja za maana na wewe huna hoja, utaishia kuwa kama gadafi tu, alilisha watu na kutoa pesa akifikiri wanampenda, ila kwa kitendo cha kuwanyima uhuru siku walipoungana alikamatwa kwenye mtaro wa mavi. jueni hilo kuanzia sasa, ukitaka kujua hayo yapo mioyoni mwa watanganyika wengi, angalieni namna wanavyofurahia tundu lisu anachokisema, manake kuna siku wakipat anafasi ya kuingia mtaaani pakitokea nafasi wataingia kwa wingi sana. dawa yake ni kutoa majibu ya uwazi na yanayojibu hoja, sio kuleta ubabe. unajifanya mbabe kwanini? nani umemmiliki nchi hii? au unamiliki wanadamu ndugu?
 
Kwani china ni ya kizamani eti
Jifunze kujibu hoja fala wewe. Tunataka muungano wenye nchi moja na rais mmoja na serikali moja, Zanzibar iwe mkoa. Hatutaki muungano wa kitapeli kama huu
 
Dogo, una mawazo mgando sana. Hilo unalosema lilikuwa sahihi miaka ya 1970's huko.

Kwa teknolojia ya sasa hivi adui anaweza kuwa Djibouti, Comoro, Madagascar, au baharini tu na manowari yake akashambulia na kusambaratisha Dodoma kirahisi tu
Anafikiria vita za sasa watu wanabeba migobore wanakuja mpakani kwao πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™ !
 

Zanzibar ni eneo halali za Tanzania/Tanganyika hatutaliachia
 
Dogo dhahabu kule migodini inaondoka kwa ndege maalum kwenda ulaya, kwa ruksa yetu wenyewe na ulinzi juu

Sasa ulinzi kutokea visiwani zenji una faida Gani kama tunajiibia wenyewe
Ni ajabu na kweli !
 
Msikae mnalalamika kwamba mnanyonywa na Kizimkazi ! πŸ™„πŸ˜³ πŸ™πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…